Shemeji yangu amekataa! Abadani, Mwanangu hapimwi DNA ikibidi ndoa ivunjike tu

Tatizo hawana fact za kumkataa mtoto ina maana mtoto ni lazima afanane na baba na mama? Maana ya genetic nini? Na wanasema wamesoma sasa sijui wameelimika au
Sio lazima kufanana, ila mahusiano ya siku hizi yamegubikwa na kutokuwa waaminifu (both me/ke). Me/Ke wote tuna networks (makamba kambaaaa kila kona) nyingi na walio wengi hulowesha bila kutumia vizuizi vya kupata mimba na penzi likikoleaa ndo mimba inalelewa ktk familia ama na mwanaume asiye stahili(singiziwa)
 
Kwanza wewe ni homo au hetero

Tusigekuwa tunabishana na mwanamke bure???

Mwisho ni malizie kwa trust but verify...

Ukitaka kupima iq ya mwanaume kirahisi,muulize unamwini mkeo kiasi gani?? Akisema anamwamini kuanzia 80%+ Kampime na iq test. I bet 90%utakuta ana uwezo mdogo wa kufikiri...

Unazungumzia trust, well, trust is earned.Mwanamke a-prove kwamba jamaa ndo mjinga..

Doubt haiji from no where.Yeye sio mjinga kukubali mtoto wa kwanza bila shida ku doubt wa 2..

Ndoa kuvunjika ni matokeo tu hasa kama misingi imevunjika kwanza Ndoa ni takataka km mwanaume haueshimiki... Yaani unapita mtaani na watoto wa watu,umachekwa.We na ulofa wako eti naogopa Ndoa itavunjika, naogopa mke wangu ataona simwamini!!!

Mwanaume bila heshima we ni James delicious ulipoa.

Ila kwa nyie ambao hamjui ht watoto wenu wanakula nini,Ada sh ngapi?familia inakula nini?Tuliza map*mb* zako maana hapo ulipo ni mzigo na huyo mkeo kuwa na wewe ni kama anakupa offer,Hela ya beer yenyewe unachukua kwenye pochi yake unataka kusema nini??????Jikaze ujinga
 
Hiyo sasa ni maabara au utopolo?? Hakuna maabara za hivyo zinaweza kupindishe geneology ya mtu kwa maslahi ya kulea mtoto kisa una uwezo.
Kweli kabisa kwa Tanzania ndio ipo hivyo, na hata majuzi Ummy aliongea hilo kwamba watende haki wakati sheria inawabana watoe majibu kwa kuangalia ustawi wa mtoto,

Mbona kila Mwaka ofisi ya mkemia mkuu hutoa majibu ya jumla kuhusu DNA, Na mwaka jana ofisi ya Mkemia ilisema 45% ya Baba wanalea watoto sio wao,

Huo ndio ukweli
 

Huenda uyo baba halisi anatoa matuzo mke akachukua ile hela akakununulia wewe boksa na siku una pesa una mwambia mkeo mkeo anatoa pesa analisha familia na hana kazi hustuki tu
 
😅😅😅 Wale vijana sometimes nawakubali sana , hasa ukishuhudia mambo ya hovyo hovyo ndani ya ndoa
Kila mtu aishi anavyotaka.

Kama hutaki kuoa, sawa.

Kama unataka kuoa mke mmoja, sawa.

Kama unataka kuoa wake elfu moja na moja, sawa.

Mradi mkubaliane tu.
 
45% wanalea sio wao baada ya kuthibitisha na sio kupindisha matokeo
 
Umewachana ukweli sana.
 
Hujui DNA za nywele? Au bongo hamna nini?
DNA ya nywele ipo.... lkn unatakiwa unyofoe nywele toka kwenye mwili na sio kukata... ukikata hujafanya chochote ndg.... je utatumia timing gani kunyofoa kwa mama mtoto?
 
That’s genetics. Kuna issue za variation brother Soma vizuri Recombination & cross over during meiosis you’ll understand this scenario.
 
Hilo tatizo lipo sana na tena nikubwa haswa sema kwa mwanaume kujulikana ni ngumu sana wake wanaficha siri sana
Acha uongo.

Tupe tafiti iliyofanyika, nami nitakuja nayo yangu ya kucounter
 
Yani mkuu mnapima DNA mnamwambia inatakiwa mnapima kimya kimya.
Fanyeni hivi Tulieni mpange siku yoyote muende mkapime hizo DNA bila mke kujua ,
Msinge mshirikisha .
Na kama mtoto sio wake nashauri mpime na wa kwanza.
 
Na nashauri mpime sehemu tofauti bro na sio sehemu moja.
 
Mpaka hapo majibu ww na Kaka yako mnayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…