- Thread starter
- #301
Ndio ni wao wenyewe hakuna aliyewaingilia.Safi sana, big up kwa huyo mwanamke... Mambo yao waachie wenyewe...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio ni wao wenyewe hakuna aliyewaingilia.Safi sana, big up kwa huyo mwanamke... Mambo yao waachie wenyewe...
Sio lazima kufanana, ila mahusiano ya siku hizi yamegubikwa na kutokuwa waaminifu (both me/ke). Me/Ke wote tuna networks (makamba kambaaaa kila kona) nyingi na walio wengi hulowesha bila kutumia vizuizi vya kupata mimba na penzi likikoleaa ndo mimba inalelewa ktk familia ama na mwanaume asiye stahili(singiziwa)Tatizo hawana fact za kumkataa mtoto ina maana mtoto ni lazima afanane na baba na mama? Maana ya genetic nini? Na wanasema wamesoma sasa sijui wameelimika au
Kwanza wewe ni homo au heteroUnapigaje mtu mzima mwenzio, na kwanini uishi na mtu ambaye humwamini kama una mashaka nae si bora kuachana nae,
Hapo italeta shida kubwa kwenye ndoa yenu maana mwanamke atajua anaishi na mtu asiyemwamini, na ipo siku atakutoa huo ujuaji wako mkuu, ukweli huwezi shindana na mwanamke, so stay low mkuu
Kweli kabisa kwa Tanzania ndio ipo hivyo, na hata majuzi Ummy aliongea hilo kwamba watende haki wakati sheria inawabana watoe majibu kwa kuangalia ustawi wa mtoto,Hiyo sasa ni maabara au utopolo?? Hakuna maabara za hivyo zinaweza kupindishe geneology ya mtu kwa maslahi ya kulea mtoto kisa una uwezo.
Sio lazima kufanana, ila mahusiano ya siku hizi yamegubikwa na kutokuwa waaminifu (both me/ke). Me/Ke wote tuna networks (makamba kambaaaa kila kona) nyingi na walio wengi hulowesha bila kutumia vizuizi vya kupata mimba na penzi likikoleaa ndo mimba inalelewa ktk familia ama na mwanaume asiye stahili(singiziwa)
Tuheshimiane bro!H
Duuh we Mama kiboko.
Kila mtu aishi anavyotaka.😅😅😅 Wale vijana sometimes nawakubali sana , hasa ukishuhudia mambo ya hovyo hovyo ndani ya ndoa
45% wanalea sio wao baada ya kuthibitisha na sio kupindisha matokeoKweli kabisa kwa Tanzania ndio ipo hivyo, na hata majuzi Ummy aliongea hilo kwamba watende haki wakati sheria inawabana watoe majibu kwa kuangalia ustawi wa mtoto,
Mbona kila Mwaka ofisi ya mkemia mkuu hutoa majibu ya jumla kuhusu DNA, Na mwaka jana ofisi ya Mkemia ilisema 45% ya Baba wanalea watoto sio wao,
Huo ndio ukweli
Umewachana ukweli sana.Kwanza wewe ni homo au hetero
Tusigekuwa tunabishana na mwanamke bure???
Mwisho ni malizie kwa trust but verify...
Ukitaka kupima iq ya mwanaume kirahisi,muulize unamwini mkeo kiasi gani?? Akisema anamwamini kuanzia 80%+ Kampime na iq test. I bet 90%utakuta ana uwezo mdogo wa kufikiri...
Unazungumzia trust, well, trust is earned.Mwanamke a-prove kwamba jamaa ndo mjinga..
Doubt haiji from no where.Yeye sio mjinga kukubali mtoto wa kwanza bila shida ku doubt wa 2..
Ndoa kuvunjika ni matokeo tu hasa kama misingi imevunjika kwanza Ndoa ni takataka km mwanaume haueshimiki... Yaani unapita mtaani na watoto wa watu,umachekwa.We na ulofa wako eti naogopa Ndoa itavunjika, naogopa mke wangu ataona simwamini!!!
Mwanaume bila heshima we ni James delicious ulipoa.
Ila kwa nyie ambao hamjui ht watoto wenu wanakula nini,Ada sh ngapi?familia inakula nini?Tuliza map*mb* zako maana hapo ulipo ni mzigo na huyo mkeo kuwa na wewe ni kama anakupa offer,Hela ya beer yenyewe unachukua kwenye pochi yake unataka kusema nini??????Jikaze ujinga
DNA ya nywele ipo.... lkn unatakiwa unyofoe nywele toka kwenye mwili na sio kukata... ukikata hujafanya chochote ndg.... je utatumia timing gani kunyofoa kwa mama mtoto?Hujui DNA za nywele? Au bongo hamna nini?
Acha uongo.Hilo tatizo lipo sana na tena nikubwa haswa sema kwa mwanaume kujulikana ni ngumu sana wake wanaficha siri sana
Yani mkuu mnapima DNA mnamwambia inatakiwa mnapima kimya kimya.Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Na nashauri mpime sehemu tofauti bro na sio sehemu moja.Wakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.
Ni hivi Mwaka Jana Mke wa Huyu Best Yangu alijifungua mtoto wa kiume. Tulifurahi kupata mtoto wapili na sisi kama ndugu na jamaa wa karibu sana ukizingatia yeye jamaa alinisaidi sana kusoma enzi hizo kipesa na kimawazo basi tulimfanyia Tafrija ndogo ya kupata mtoto.
Siku chache baadae furaha ya jamaa iliingia shubiri kila alipokuwa akifatilia ukuaji wa mtoto.
Yaani mtoto amekuwa na sura na mwonekano tofauti na Baba na Mama yake.
Yaani Mshikaji ni Mweusi na Mke wake maji ya kunde lakini Mtoto ni Mweupe.
Kwa sayansi ndogo tuliyo nayo kama baba mweusi na Mama maji ya kunde sio rahisi kupata mtoto mweupe. Pengine angepata rangi ya kunde kama Mama yake au Mweusi kabisa kama Baba yake.
lakini Baba ni msomi hawezi kufanya maamuzu based on just feelings. Ameamua kushauriana na mkewe kuwa wakampime DNSA maana jamaa roho inakataa kumpenda mwanaye kati kati ya mashaka.
Mke amekataa kata kata kuwa Mwanaye hapimwi DNA ikibidi hata ndoa ivunjike.
Ana dai kama hamwamini mke wake basi bora waaachane.
Mimi na Braza tume baki mdomo wazi juu ya msimamo wa Mwanamama huyu.
Tulitegemea angekubali ili kumwondolea hofu mumewe na upendo uzidi kutamalaki. Hali imekuwa tofauti.
Ndo maana nimemwambia wapime vituo tofauti tofauti.Serikali inahuruma na maisha ya mtoto haitaki mzigo wa malezi uwe wao ila kwake babamlezi.
Yani ashindwe kuchukua nywele za mkewe.Si lazima sample zichukuliwe kwa woote? Huo ujasusi ukoje?
Ya ni mzuri hio maana bongo nao ndo hivyo.Kama upo vizuri tafuta mtaalamu amchukue sample tuma nairobi wakupe majibu
Kama atapima DNA mwambie awe makini pia na vituo vya mbongo.Ndio kaka unaweza kweli kuzaa mtoto msifanane hilo linawezekana. Ila panapokuwa na mashaka ili kurejesha amani ya moyo DNA inashauriwa
Mpaka hapo majibu ww na Kaka yako mnayoWakuu tumefika mwisho. Tumekuwa watabe kushauri kwenye mahusiano ya wengine huku mtandaoni lakini huku field Mke wa Brother(rafiki yangu wa longtime) ametushinda.