kama ana tabia nzuri msaidie acha roho mbaya,mtaani kuna watu wengi sana na wengine wakubwa serikalini wamebebwa na mashemeji.Tatizo nyie huwa mnawaza bajeti ya kula tu hivi jamani kumlisha mtu napo ni kitu cha kuwaza? Mimi kwenye familia yangu siwazagi kuhusu kula au kuongezeka kwa bajeti ya kula kwamba fulani aliyeongezeka anaongeza kipimo