Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

Mkaza

MKAZA...HUKAZWA
 
kuoa kabinti keupe na kazuri ka kirangi kutoka kondoa
Hapa ndio kosa lilianziaaa ..............jamaa ajiandae kutoa talaka tu aendelee kufanya kazi yake ya malori na c kuacha kazi kisa akae kuridhisha mwanamkee..
 
kaa tayari na uwe makini, kifo kipo mlangoni mwako. uzinzi haujawahi kumwacha mtu salama. usijesema hatukukuambia.
 
Aisee
 
Hata wewe baada ya muda mfupi atakutangaza kwa mshkaji mwingine kwamba ni mchovu.

Huyo ni malay.a kwa asili anavyoonekana maana haiwezekani mke wa mtu anayejiheshimu akaenda kumueleza mambo ya ndani rafiki wa mumewe.
Ndomaana hata mimi mwenyewe nipo njiapanda. Najiuliza kwanini kesi zao za siri ananiletea mimi tu. Lengo lake nimle au nitatue tatizo.. yani simuelewi huyu binti wa kirangi.
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Story umecopy hii Facebook na hiyo page picha yake ndio hiyo avatar yako, halafu kwanini mnapenda kuwachosha watu akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…