Shemeji yangu naona amevuka mstari mwekundu. Nifanye kweli kutunza heshima ya homie au nimuache ajiendee tu

Kwa uzoefu wangu hilo kabila wanawake ni wahuni sana na ni muujiza mwanamke kuwa na mwanaume mmoja.
 
Kumuita mleta mada mjinga ni kumshusha cheo.Huyu ni MPUMBAVU ambaye anamtamani mke wa rafiki yake anakuja hapa kuzuga.
Nimekuja kuomba ushauri mkuu. Kumbuka kuna mambo mengine ili uyafanye au usiyafanye ni lazima upate kwanza ushauri kwa watu ili ujue hatua ya kufuata.
 
Hapa ndio kosa lilianziaaa ..............jamaa ajiandae kutoa talaka tu aendelee kufanya kazi yake ya malori na c kuacha kazi kisa akae kuridhisha mwanamkee..
Ni kweli.. maana anaweza kuacha kazi, alaf na mwanamke akamuacha yeye. Mwisho wa siku akaanza kujiona ananuksi kumbe nuksi ni maamuzi yake mwenyewe.
 
Ukikua utaacha maana inaonekana ulikuwa na mate tangu ulipomuona shemeji yako kwa mara ya kwanza
 
Unamkumbuka Penina wa Goba mshangazi nginjanginja komasava, alivyokula hela ya msukuma hadi akageuzwa bucha..🤣
 
DEREVA: oya tingo Kuna issue hapa home njoo na washkaji mje na mafuta ya msanii...

6PACK: Bro sisi ni kama ndugu nisamehe tuongee...
 
Usitamani mke wa jirani yako hii ni amri ya 9 katika toraut ya moussa aliyopewa na Allah. Tuzingatie Hilo
 
Kwa uzoefu wangu hilo kabila wanawake ni wahuni sana na ni muujiza mwanamke kuwa na mwanaume mmoja.
Kumbe hii ni hulka yao wote, au inatokana na tabia tu ya mtu, malezi nk?
 
Mwanetu umekaa ukawaza kabisa kuwa sisi tunaweza kuwa wajinga wenzio tunafaa kukushauri utembee na mke wa rafiki yako? Yaani umekaa ukawaza ukaona tunafaa kukushauri hivyo? OK! Tembea nae na siku ukipakwa mafuta uje utuombe ushauri
 
Ukikua utaacha maana inaonekana ulikuwa na mate tangu ulipomuona shemeji yako kwa mara ya kwanza
Amna mimi nilikaa mbali na shemej yangu, sikutaka kujihusisha nae kabisa, mpaka pale nilipoanza kuletewa kesi zao. Cha kushangaza kesi mkewe alizileta kwangu badala ya kuzipeleka kwa ndugu wa mume.
 
kaa tayari na uwe makini, kifo kipo mlangoni mwako. uzinzi haujawahi kumwacha mtu salama. usijesema hatukukuambia.
Nalijua hilo mkuu, lakini sipendi kuona shemej anapeleka mboga nje na wakati ndani walaji wa kimya kimya tupo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…