KimpaGhasha
JF-Expert Member
- Jun 21, 2020
- 327
- 459
Wewe una gubuu,Huyu mke wa mshikaji wangu anashika rekodi ya uchafu.
Nilishindwa kuwatembelea jumapili ya pasaka nikasema niende jana jumatatu ya pasaka, wana mtoto mchanga na wanafuga bata, wakati wa naandalizi ya msosi kwa macho yangu niliona akimtawaza mtoto bila kunawa mikono, mara akajikuna sehemu za siri akaenda kukata kachumbari,
Hatujakaa sawa bata wake akadokoa mboga kwenye sufuria, lakini kiumbe huyu wala hakujali, like nothing happened wakati wa msosi ilipofika nikakumbuka hayo matukio nikajikuta natapika,nikasingizia malaria.
Wanaume wa kwenye ndoa mnavumilia nengi sana
Unajiarika kwa watu alafu unakuja kutangaza hapa..
Uchafu wako ww anausemea Nani, na tuna uhakika gani kama haya unayoyasema uliyaona kama yalivyo.
Unayoyakuta kwa watu yaache palepale usiondoke nayo ndugu,
Eti anajikuna sehem yasiri ulikuwa unaangalia nn huko!?
Kwa haya matukio uliyataja hayawezi kufanywa na mtu mwenye akili timamu mbele ya watu.
Au mzee hujammaindi huyo demu kukaa na mshikaji wako!?
Angalia man, sio Kila unachokiona kwa watu yakupasa uchukue na useme.
Ulikuwa na haja gani yakula chakula na kujitapisha!?
Ungesema tu Asante, kama kweli umechafukwa.
Sent using Jamii Forums mobile app