Shemeji yangu Raimundo

Shemeji yangu Raimundo

Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Ngoja niweke mambo sawa Leo na kesho kesho kutwa lazima nizamie kwako kama unanidanganya

Teh
 
Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Karibu na msikiti wa Taqwa?
 
Hapo ndani kwenye wapishi wengi wengi?
 
kirahisi rahisi hivo ama!!!
 
Back
Top Bottom