Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahahahahahah[emoji116] [emoji116] Nahuja kipenzi amemaliza ugomvi
Mungu ni mwema sana haki[emoji116] [emoji116] Nahuja kipenzi amemaliza ugomvi
natania bhanangoja nikufate PIEMU hahahahah
Ngoja niweke mambo sawa Leo na kesho kesho kutwa lazima nizamie kwako kama unanidanganyaSawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Nipe pesa nikupe namba yake
Nanhu uleng'wanzahahhahaha mie must nionane na ww tunyonye vya kunyonya!maisha ndo hayahaya!
nb:toka out na wahenga!lol ..sio kila mtu wakutoka naye
Nanhu uleng'wanza
Teh
Aaaha kumbe nandohaya duje tukale wote chakula kinachoongeza nguvu za kiumeyaya nhale ng'wani
Karibu na msikiti wa Taqwa?Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Aaaha kumbe nandohaya duje tukale wote chakula kinachoongeza nguvu za kiume
Yaani nafikiri ukiongsza nguvu za kiume sijui utaota ndevu
Teh
Hapo ndani kwenye wapishi wengi wengi?Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Nimekaribishwa na nahuja nikale sasa best vip tena nikataka twende wotehahaha naona umeamua kujiepose huna ngv!pole usikate tamaa tafuta tiba!
Hahaha nataka nikale ugali na Sato kwa dada NAHUJA amesema anachakula kitamu
kirahisi rahisi hivo ama!!!Sawa ngoja nikuelekeze nilipo. Njoo soko la kimataifa la samaki eneo la Mwaloni, ulizia mama ntilie NAHUJA mwenye chakula kitamu, kizuri na chenye kuongeza nguvu za kiume utanipata. huwa ninauza hadi saa 12.00 jioni. karibu sana. Karibu ujilambe. Pia sio mbaya nikaribishe na wadau wengine huko walipo kama kuna siku watakuja MZA basi wanitembelee. Ushimen, Jiwedogo, MBITIYAZA, Kichwa Kichafu, Joseverest karibuni sana MZA
Duuuu!mmh! Mama Sabrina kwa sasa niko vibaya kweli shost, hata chup.i niliyovaa imetoboka si kwa kuishiwa huko. nipatie tuuu
Mngh!hahhahaha mie must nionane na ww tunyonye vya kunyonya!maisha ndo hayahaya!
nb:toka out na wahenga!lol ..sio kila mtu wakutoka naye