Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
mpaka umnunulie kwanza ndio sasa utajua na kufahamu vizuri kwamba hili ni chaka , chocho, cheche au pasua kichwa🐒Inategemea wanawanunulia watu wa namna gani, au ndio kuingia chaka?
bila hivyo ni ngumu kujua...
Biashara ya mapenzi ni ngumu sana ndrugo zango 🐒