Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha.

Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na mwanamke.

Na kwa sasa tunapokaribia siku ya wapendanao, wapo wanaume wameshaanza kupigwa mizinga ya hapa na pale.

Swali la kujiuliza, anayekupiga mzinga ana shepu ya namna gani?

Hii ndio shepu ya kupiga mizinga, kama hana muonekano huu vaa viatu ukimbie haraka.
View attachment 2900753

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Manzi Ili ale pEsa yangu awe na vigezo vifuatavyo.
1.Awe na Tako
2.Awe na mzigo aka Tako
3.Awe na takroooo
4.Awe na Tako la kwenda weweeeee
Jamani manzi mwenye tako akiongezea na upaja mweupe mzito mzito kama pichani Hapo juu ruksa kula Hela yangu endapo ataiona.
 
😳😳😳Chief ubongo imeingia virus 🦠 🦟
 
Manzi Ili ale pEsa yangu awe na vigezo vifuatavyo.
1.Awe na Tako
2.Awe na mzigo aka Tako
3.Awe na takroooo
4.Awe na Tako la kwenda weweeeee
Jamani manzi mwenye tako akiongezea na upaja mweupe mzito mzito kama pichani Hapo juu ruksa kula Hela yangu endapo ataiona.
hela uitolee wapi ww habu tulia labda ukale matako ya mbuzi pale kitisi
 
Back
Top Bottom