Chizi Jambazi
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 1,769
- 1,379
tiGo inapatikana?Kuhonga mwanamke asiyekuwa na shepu hii, ni matumizi mabaya ya fedha.View attachment 2900753
Wengi wanajisifia kuhonga vipato vyao kwa wapenzi wao mbalimbali; wengine wanasema pesa ya mwanaume lazima itumiwe na mwanamke.
Na kwa sasa tunapokaribia siku ya wapendanao, wapo wanaume wameshaanza kupigwa mizinga ya hapa na pale.
Swali la kujiuliza, anayekupiga mzinga ana shepu ya namna gani?
Hii ndio shepu ya kupiga mizinga, kama hana muonekano huu vaa viatu ukimbie haraka.