monde arabe
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 8,781
- 13,444
Noma sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimechekaaa😁..... dubwi hili hhapaHivi dumbwi ni nini?
Halafu hana hata baisikeli na hajawahi kumiliki hata bodaboda ila kila siku anahongwa Crow or Ist.Huyo mzinga wake wa kwanza tu, atakuambia umnunulie Crown or Ist.
Wanaoweza kununulia wapo, sema hizo shape za kuwanunulia una uhakika zipo??maana gari hanunuliwintu mtu yeyoteHivi humu JF ni kweli watu wananunulia mademu magari?! 🫣
Ooh kumbe😅😅Nimechekaaa😁..... dubwi hili hhapaView attachment 2901087
Inabidi anunuliwe nani?Wanaoweza kununulia wapo, sema hizo shape za kuwanunulia una uhakika zipo??maana gari hanunuliwintu mtu yeyote
Gari!!😳😜unipe nini mkuu?
Ndo JF ilivyo??Ukishakua member humu,ghafla unakua Don hata kama fukara!usishangae wote tuna magari!wore usalama,Tena wakishua!!
hii ndio fantasy world ya jf!
Wewe ushanunulia mtu,???Wanaoweza kununulia wapo, sema hizo shape za kuwanunulia una uhakika zipo??maana gari hanunuliwintu mtu yeyote
SI umeona ngoma aloiweka mtoa mada hapo juu, hizo ni kazi standard zina kidhi vigezoI
Inabidi anunuliwe nani?
Mimi nimemnunulia wife mama watoto chief, she deserves.Wewe ushanunulia mtu,???
Factors nying sana.Kuhongwa kuna tegemea vitu vingi.
Mkuu, anatosha Mwajuma wangu. 😂😂😂😂Ukimhonga unakosea
Wewe uko sahihi!!Mimi nimemnunulia wife mama watoto chief, she deserves.
Gari!!😳😜unipe nini mkuu?
Ma komwe hayo kamanda umejipofusha usione?
Hiyo ni sawa hawa wananunulia mademu hata kwao hawapajui nawashangaa na mbinu wanatumia!!!Mimi nimemnunulia wife mama watoto chief, she deserves.