Gucci gang
JF-Expert Member
- Jan 7, 2018
- 2,682
- 5,277
Ah ni mmoja tu yule alikosea njia mkuu😂😂😂HAwa wacheza dubwi??
Hamna wacheza dubwi humu😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ah ni mmoja tu yule alikosea njia mkuu😂😂😂HAwa wacheza dubwi??
Ee mpaka iishe😅😅😅😅 Kumbe bdo kazi haijaisha mpka iishe
Ukishakua member humu,ghafla unakua Don hata kama fukara!usishangae wote tuna magari!wore usalama,Tena wakishua!!Hivi humu JF ni kweli watu wananunulia mademu magari?! 🫣
sawa shepu inaweza kua nzuri ila sasa miyeyusho huwa yaliyomo dah! huwa inavunja moyo na kukaribisha majutroo kwa haraka sana [emoji205] [emoji205]
feri 🤣Unakutana na cha samak wabichiiiiiiii [emoji28][emoji28]
😄😄😄😄😄HAwa wacheza dubwi??
Ukafanye nini huko?Naombeni mchango niende mloganzila.
Amna wananikinai mkuu, nikiwa nao kwenye mahusiano nawachoka fasta.Kwa nini hawakuvutii, au ni ile kukaa mbali na mizinga?
Wewe unapenda wa namna gani?Watu mnapenda madude ya hovyo hovyo sana. Hayo mamizoga sili kabisa.
Daah mkuu, sijui umewaza niniHAwa wacheza dubwi??
Gari!😳😜unipe nini mkuu?
Hivi dumbwi ni nini?HAwa wacheza dubwi??
Tunahitaji kikao cha wanaume tukujadili, umetudhalilisha sanaHAwa wacheza dubwi??
Hutu atakuwa Ngosha tu
Habari ya Geita ngosha?