Shepu inayostaili kula hela za mwanaume (kupiga mizinga)

mpaka umnunulie kwanza ndio sasa utajua na kufahamu vizuri kwamba hili ni chaka , chocho, cheche au pasua kichwa🐒

bila hivyo ni ngumu kujua...

Biashara ya mapenzi ni ngumu sana ndrugo zango 🐒
Haya nimewawekea pisi kali inayokubalika kimataifa, jitahidini muwahonge wa namna hiyo.
Ukishindwa, pambana na hawa wa kienyeji 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…