Hiyo kalenda inafuatwa dunia nzima, India, China nk, kote huko hiyo kalenda inafuatwa, je na wao wanaabudu chini ya papa??!--- unaelewa maana ya kuabudu??, mbona kuna Wakristo wameoa mke zaidi ya mmoja kama waisilamu je na wao wanaabudu kiisilamu ??, wameona kuoa mke zaidi ya mmoja kuna manufaa ndio maana wakaamua kufanya hivyo ni hivyo hivyo kwa Waisilamu kama kuna jambo lolote zuri lenye manufaa, lisilopingana na Dini yetu yatupasa tulichukue kutoka kwa yeyote awe Mpagani, asiyekuwa na dini, Muhindu, mbudha, mkristo, nk,
Sisi tunaposwali huwa hatupigi magoti, tunaswali kwa kusimama, kurukuu, Kutahyattu na kusujudu mbele ya Mungu/Allah na sio mbele ya Yesu (Mungu-mtu) wenu.
Dini ya Giant inayomiliki dunia kila kona??!!--- Hao si ndio waliingia Africa kama wapelelezi, Wamisionary (watu wa dini) na mwishowe Wakoloni na wakatutawala kimabavu au umesahau??, hao si ndio Walichukua Watumwa-- weusi kwa nguvu kuwapeleka America kwenye mashamba au umesahau??--- hujui kwamba huko Ulaya kwenye huo ukristo watu wameacha kwenda makanisani na wamekuwa Atheists, hujui kwamba Dini ya kiisilamu kwa sasa ndio inashika kasi KUBWA kuliko Dini zingine zote huko Ulaya na sehemu zingine za dunia??--- hayo ndio mambo unapaswa uyaangalie na sio vitu vidogo kama hiyo Kalenda ya Gregorian.