Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Maana hiyo waislamu wanaabudu na wako chini ya papa na ukristo
Hakika kila goti kwa Yesu kristo na ukristo litapigwa
Proud kuwa kwenye dini ya Giants wanao imiliki dunia kila kona
Savage ni wewe usiyekuwa na maarifa kwani kila kalenda ina mfumo wake na imeanza lini kutumika.
Ati 1444 hata computer bado haijavumbuliwa kama una maarifa ungejua computer imevumbuliwa lini kwa hiyo Gregorian calendar
Hiyo kalenda inafuatwa dunia nzima, India, China nk, kote huko hiyo kalenda inafuatwa, je na wao wanaabudu chini ya papa??!--- unaelewa maana ya kuabudu??, mbona kuna Wakristo wameoa mke zaidi ya mmoja kama waisilamu je na wao wanaabudu kiisilamu ??, wameona kuoa mke zaidi ya mmoja kuna manufaa ndio maana wakaamua kufanya hivyo ni hivyo hivyo kwa Waisilamu kama kuna jambo lolote zuri lenye manufaa, lisilopingana na Dini yetu yatupasa tulichukue kutoka kwa yeyote awe Mpagani, asiyekuwa na dini, Muhindu, mbudha, mkristo, nk,
Sisi tunaposwali huwa hatupigi magoti, tunaswali kwa kusimama, kurukuu, Kutahyattu na kusujudu mbele ya Mungu/Allah na sio mbele ya Yesu (Mungu-mtu) wenu.
Dini ya Giant inayomiliki dunia kila kona??!!--- Hao si ndio waliingia Africa kama wapelelezi, Wamisionary (watu wa dini) na mwishowe Wakoloni na wakatutawala kimabavu au umesahau??, hao si ndio Walichukua Watumwa-- weusi kwa nguvu kuwapeleka America kwenye mashamba au umesahau??--- hujui kwamba huko Ulaya kwenye huo ukristo watu wameacha kwenda makanisani na wamekuwa Atheists, hujui kwamba Dini ya kiisilamu kwa sasa ndio inashika kasi KUBWA kuliko Dini zingine zote huko Ulaya na sehemu zingine za dunia??--- hayo ndio mambo unapaswa uyaangalie na sio vitu vidogo kama hiyo Kalenda ya Gregorian.
Kweli ukristo ni majiKwahiyo kila mtu aanzishe kalenda yake tangu pale alipozaliwa au! Yani kuna vitu ukivitafakari vinachekesha sana, wale waislam safi utakuta ndani ana kalenda mbili ya kiislam na hii ya dunia nzima then anakuwa anaangalia kwa kuzioanisha ili kujua sikukuu zao zinaangukia tarehe ngapi na siku gani ktk kalenda ya kimataifa
Kalenda ya Waafrika iko wapi nianze kuitumia?Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
Acha kashfaUkitaka kuona jinsi hawa wafuasi wa mudy wana uwezo mdogo kiakili, nenda kwenye hiyo wanaita mihadhara yao. Mazungumzo yao ni kama uitishwe mkutano wa watoto
Dubai karuhusu kunywa pombe jana mkuu. Na wazungu ndio walimleta sultan said kutawala Zanzibar na kuuza watumwaHiyo kalenda inafuatwa dunia nzima, India, China nk, kote huko hiyo kalenda inafuatwa, je na wao wanaabudu chini ya papa??!--- unaelewa maana ya kuabudu??, mbona kuna Wakristo wameoa mke zaidi ya mmoja kama waisilamu je na wao wanaabudu kiisilamu ??, wameona kuoa mke zaidi ya mmoja kuna manufaa ndio maana wakaamua kufanya hivyo ni hivyo hivyo kwa Waisilamu kama kuna jambo lolote zuri lenye manufaa, lisilopingana na Dini yetu yatupasa tulichukue kutoka kwa yeyote awe Mpagani, asiyekuwa na dini, Muhindu, mbudha, mkristo, nk,
Sisi tunaposwali huwa hatupigi magoti, tunaswali kwa kusimama, kurukuu, Kutahyattu na kusujudu mbele ya Mungu/Allah na sio mbele ya Yesu (Mungu-mtu) wenu.
Dini ya Giant inayomiliki dunia kila kona??!!--- Hao si ndio waliingia Africa kama wapelelezi, Wamisionary (watu wa dini) na mwishowe Wakoloni na wakatutawala kimabavu au umesahau??, hao si ndio Walichukua Watumwa-- weusi kwa nguvu kuwapeleka America kwenye mashamba au umesahau??--- hujui kwamba huko Ulaya kwenye huo ukristo watu wameacha kwenda makanisani na wamekuwa Atheists, hujui kwamba Dini ya kiisilamu kwa sasa ndio inashika kasi KUBWA kuliko Dini zingine zote huko Ulaya na sehemu zingine za dunia??--- hayo ndio mambo unapaswa uyaangalie na sio vitu vidogo kama hiyo Kalenda ya Gregorian.
Umekua mgumu kuelewa.siku za sikuukuu ni tatu tu.idi mbil na ijumaa.ukisikia kuna ingine jua ni uzushi tu.hakunaKwa hiyo mwaka mpya wa Gregorian Calender hamuutambui?
Waislam wana kalenda yao hujawahi kusikia mwezi wa shaaban, rajab, ramadan
Au hujawahi kusikia mwaka mpya wa kichina
Wahindi,wayahudi wote wana kalenda zao kutokana na tamaduni zao
Lakini kalenda tunayotumia sasa ya kikristo ya papa Gregorian ndo ya kisasa na imemeza kalenda nyingine zote
Unaweza ukapinga ukristo kinafiki ila haukwepeki katika kufuata misingi na miongozo yake...Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Sure, ndio inayofuata mfumo aliotoa Mwenyezi Mungu kwa ukaribu.Kalenda ya kiyahudi hiyo itakuwa
Sawa ila neno kaka futa mkuukaka waislam wana muaka wao na nado wako nyuma kwenye miaka ya 14's huu mwaka hauwahusu wanafosi2 kwaiyo hata huu mwaka mpya hawapaswi kusheherekea naomba unipate kwa hilo
Kama unaamini Nabii Issa A.S(Yesu) ni miongoni mwa mitume 25 katika Uislam!Hoja yako haina mantiki,imekaa kichuki flani ivi...dini zisitufanye tuwe brainwashed.Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?