Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Mkuu una cheti cha kuzaliwa?
Kama unacho kinaonesha mwaka gani ?
Inatakiwa hata vyeti vya kuzaliwa vyenye miezi na miaka ya vipagani tuvikatae
Kabla hujaniuliza kuhusu cheti cha kuzaliwa unapaswa kuniuliza kwanza, kuwa na cheti cha kuzaliwa ni ibada au ni taratibu za kinchi? ukipata jibu njoo niulize tena.
 
Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
Huko mbali mkuu Ethiopia tu hapo wana kalenda yao.
 
Sijawahi kujali, maoni yako ishi nayo hayanisaidii mimi
 

mungu huyu wa waarabu au mungu gani
 

Ndio mlovyodanganywa nanyi mkaamini hizo porojo?
 

Wengi wao wapuuzi
 
Ndio mlovyodanganywa nanyi mkaamini hizo porojo?
Waambie: ikiwa mimi nimepotea, basi nimepotea kwa kuidhuru nafsi yangu mwenyewe na nikiongoka basi ni kwa sababu ya kunifunulia mola wangu mlezi, hakika yeye ni mwenye kusikia, aliye karibu.."

Quran 34:50
 
Utasherehekea vipi kitu bila kujua asili yake,jifunze udadisi na kuhoji sio kufuata mkumbo
Unaongea haya wakati ww mwenyewe tarehe yako ya kuzaliwa unaiandika kwa kalenda hii hii. Acha unafki na udini wa kipumbavu. Elimika alafu mwaka mpya sio sikukuu ni Mwaka Mpya kama vile ww ukinunua TV mpya jioni ukoo wako wote unakaa kuangalia TV na mwaka mpya watu husubiri hivohivo maana maisha ni mafupi unaeza kufa dakika 3 kabla so ni jambo la kufurahi na kumshukuru Mungu
 

hakuna muislamu alioivamia sikukuu ya mwaka mpya wala hana habari nayo walioivamia ni waislamu jina waislamu mwaposa au waislamu bakwata,
 
sherehe zozote za kikiristo zimepwaya hazina mvuto utafikiri msiba ngoja uone ramadhani ulimwengu unarindima ngoja uone eid zote nchi nzima furaha huku na kule
 
Huko mbali mkuu Ethiopia tu hapo wana kalenda yao.
Mkuu hizo zote siyo widely accepted uwe una elewa. Shi ji ping Rais wa china juzi alikuwa akihutubia katika hotuba ya kuukaribisha mwaka wa 2023 so hata wachina wanatumia Gregorian calendar. Hiyo kalenda Yao ni traditional but not official
 
sherehe zozote za kikiristo zimepwaya hazina mvuto utafikiri msiba ngoja uone ramadhani ulimwengu unarindima ngoja uone eid zote nchi nzima furaha huku na kule

Unauhakika mkuu au kwakuwa unaishi zenji ndio unaamini dunia nzima iko hivyo?

Vipi huwa mnakesha na kulipua ma fataki kama mwaka mpya ama kuweka maua na taa za kuwaka kama xmas?

Nachokijua mwezi wa ramazani ukifika wavaa kobazi waananza kulia maisha magumu serikali iwasaidie wafanyabiashara wapunguze bei za vyakula ili wasife njaa kipindi cha mfungo.
 
Sio sikukuu kivipi ba wakati hatuendi makazini,ficha ujinga wako
 
sherehe zozote za kikiristo zimepwaya hazina mvuto utafikiri msiba ngoja uone ramadhani ulimwengu unarindima ngoja uone eid zote nchi nzima furaha huku na kule
Xmas italy ikoje
 
Dooh! Tafuta dunia yako afu tumia hiyo calender unayo taka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…