Mwaka mpya huwa mnaupigia kelele kila mwaka.Mkuu umelala usingizi wa kutosha kweli? tangu lini jambo la dini likahukumiwa kwasababu watu ndio wafanyaji? mimi nakupa muongozo wa uislamu wewe unaniambia mbona miaka yote mnasherehekea.
Au unazungumzia wazanzibar na watanganyika.
Hao waumini wanaofuata muongozo wa dini ya Kiislam waliwahi lini na wapi kupinga sikukuu za Mapinduzi na Uhuru?Namaanisha waumini wa dini ya kiislamu wanaofuata muongozo wa dini yao, sikusudii watu wasio na uelewa kuhusu dini yao wale wanaofuata tu hata kuswali hawaswali, hawa wanafanya makubwa kuliko hata hizo sherehe.
Kwani sherehe za Muungano ni Ibada?Kabla hujaniuliza kuhusu cheti cha kuzaliwa unapaswa kuniuliza kwanza, kuwa na cheti cha kuzaliwa ni ibada au ni taratibu za kinchi? ukipata jibu njoo niulize tena.
Dunia nzima, Hakuna sherehe ya kidini kubwa kuliko Christmas.sherehe zozote za kikiristo zimepwaya hazina mvuto utafikiri msiba ngoja uone ramadhani ulimwengu unarindima ngoja uone eid zote nchi nzima furaha huku na kule
mungu huyu wa waarabu au mungu gani
Huyo Mungu aliyekuumba wewe na hao waarabu.
Yuko wapi na anafanya nini?
Vile ulivyo hujui ulikua wapi kabla ya kuzaliwa ndio itakavyokuwa baada ya kufa.
Achana na vitisho vya walaghai wa dini ambao hutumia kifo kama agenda kuu kutisha watu
Sawa, AhsanteSijawahi kujali, maoni yako ishi nayo hayanisaidii mimi
Hapana mimi pia napaswa kuishi kwa adabu, okay hakuna neno.Kwamba wewe ndo utakuwepo kaburini unishikishe adabu😂😂,, mnajifanya mahakimu sana nyie na niliwakomesha, ukiumia sana jiue
Uzuri unanifahamu nikiona mjadala umehamia kwenye ubishi usio na manufaa huwa nakukabidhi tu ushindi.Kwani sherehe za Muungano ni Ibada?
We jamaaa aisee....
Sasa kiherehere cha nini kakaaHapana mimi pia napaswa kuishi kwa adabu, okay hakuna neno.
Yamekwisha, samahani.Sasa kiherehere cha nini kakaa
Ikiwa hujui asili ni shida. Watumwa mko lundo.Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
[emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2469394
Wavaa kobazi Huwa wanamatatizo kichwani, bila mzungu kuwa na nguvu hii Dunia wangeshaipeleka Shimoni.Kwamba wewe ndo utakuwepo kaburini unishikishe adabu😂😂,, mnajifanya mahakimu sana nyie na niliwakomesha, ukiumia sana jiue
Sawa.Mkuu hizo zote siyo widely accepted uwe una elewa. Shi ji ping Rais wa china juzi alikuwa akihutubia katika hotuba ya kuukaribisha mwaka wa 2023 so hata wachina wanatumia Gregorian calendar. Hiyo kalenda Yao ni traditional but not official
Wengi wao washari halafu wajiona wako perfect, kumbe ujinga tuWavaa kobazi Huwa wanamatatizo kichwani, bila mzungu kuwa na nguvu hii Dunia wangeshaipeleka Shimoni.
Hiyo kalenda ya kupokelea mshahara kwa walio ajiriwa mimi mwaka mpya haunihusuHii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.
Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?