Mwaka mpya huwa mnaupigia kelele kila mwaka.Mkuu umelala usingizi wa kutosha kweli? tangu lini jambo la dini likahukumiwa kwasababu watu ndio wafanyaji? mimi nakupa muongozo wa uislamu wewe unaniambia mbona miaka yote mnasherehekea.
Au unazungumzia wazanzibar na watanganyika.
Ni lini na wapi mliwahi kupigia kelele sherehe za Muungano na Mapinduzi?
Hilo ndilo swali