Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Mkuu umelala usingizi wa kutosha kweli? tangu lini jambo la dini likahukumiwa kwasababu watu ndio wafanyaji? mimi nakupa muongozo wa uislamu wewe unaniambia mbona miaka yote mnasherehekea.

Au unazungumzia wazanzibar na watanganyika.
Mwaka mpya huwa mnaupigia kelele kila mwaka.

Ni lini na wapi mliwahi kupigia kelele sherehe za Muungano na Mapinduzi?

Hilo ndilo swali
 
Namaanisha waumini wa dini ya kiislamu wanaofuata muongozo wa dini yao, sikusudii watu wasio na uelewa kuhusu dini yao wale wanaofuata tu hata kuswali hawaswali, hawa wanafanya makubwa kuliko hata hizo sherehe.
Hao waumini wanaofuata muongozo wa dini ya Kiislam waliwahi lini na wapi kupinga sikukuu za Mapinduzi na Uhuru?

Tupe ushahidi mmoja tu hapa
 
Kabla hujaniuliza kuhusu cheti cha kuzaliwa unapaswa kuniuliza kwanza, kuwa na cheti cha kuzaliwa ni ibada au ni taratibu za kinchi? ukipata jibu njoo niulize tena.
Kwani sherehe za Muungano ni Ibada?

We jamaaa aisee....
 
sherehe zozote za kikiristo zimepwaya hazina mvuto utafikiri msiba ngoja uone ramadhani ulimwengu unarindima ngoja uone eid zote nchi nzima furaha huku na kule
Dunia nzima, Hakuna sherehe ya kidini kubwa kuliko Christmas.

Mpaka ofisi za Umma huwa zinawaka mataa ya Christmas
 
Huyo Mungu aliyekuumba wewe na hao waarabu.

Yuko wapi na anafanya nini?

Vile ulivyo hujui ulikua wapi kabla ya kuzaliwa ndio itakavyokuwa baada ya kufa.

Achana na vitisho vya walaghai wa dini ambao hutumia kifo kama agenda kuu kutisha watu
 
Yuko wapi na anafanya nini?

Vile ulivyo hujui ulikua wapi kabla ya kuzaliwa ndio itakavyokuwa baada ya kufa.

Achana na vitisho vya walaghai wa dini ambao hutumia kifo kama agenda kuu kutisha watu


Ingekutosha Mungu angekuumba Nyani tupilia mbali funza wa chooni.
 
Unavuka kwenda wapi na kalendar haikuhusu,hizi kalendar ni vitu vya kubuni,wachina wana calendar yao inaanza mwezi wa pili,waarabu wanayao ila zimeouuzwa na ulimwengu
Ikiwa hujui asili ni shida. Watumwa mko lundo.
 
[emoji116]
[emoji23][emoji23][emoji23]
IMG_20230105_061504.jpg
 
Mkuu hizo zote siyo widely accepted uwe una elewa. Shi ji ping Rais wa china juzi alikuwa akihutubia katika hotuba ya kuukaribisha mwaka wa 2023 so hata wachina wanatumia Gregorian calendar. Hiyo kalenda Yao ni traditional but not official
Sawa.
 
Dunia inaendeshwa na mfumo Kristo, tatizo linakuja kuwa waislamu wengi wao hawajielewi hata kidogo.
 
Hii kalenda tunayotumia, Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? Au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Hiyo kalenda ya kupokelea mshahara kwa walio ajiriwa mimi mwaka mpya haunihusu
 
Back
Top Bottom