Sherehe ya Mwaka Mpya ni ya Kikristo, Waislamu tumeivamia tu bila kujua

Usikimbie swali langu kijanja...

Nimekuuliza, Kwa nini sherehe za Mapinduzi na Uhuru unasherehekea ilhali hazina miongozo ya Dini uliyoagizwa?
Hivi umeniona nikisherehekea?! au ndo unatafuta ugomvi kwa nguvu, nimeshakwambia sisi hatusherehekei zaidi ya eid mbili katika mwaka.
 
Sasa kama kalenda inakusaidia kufanya shughuli zako na kukusaidia kujua nyakati, kwa nini uone ni dhambi kusherehekea tarehe 1 January ya hiyo kalenda?

Sijui niongee lugha gani ili unielewe?!!--- Kwangu mimi kwenye hiyo kalenda manufaa ninayopata ni matumizi katika kujua muda tu (time consciousness), sioni manufaa au sababu ya kusheherekea mwaka mpya wa hiyo kalenda, sana ninachoweza kusema ni; Mungu amjalie malipo mema Papa Gregory kwa uvumbuzi wa hiyo kalenda yenye manufaa kwa binadamu, nasema hivyo kwasababu Mtukufu mtume Muhammad (saw) amepata kusema; Yule ambaye hamshukuru mtu hawezi kumshukuru Mungu.--- Shukrani kwa huyo papa ni bora kuliko sherehe ya mwaka mpya wa hiyo kalenda.
 
Mtoa mada mbona unakuwa hivyo? Haya nikukumbushe tu hata aliyetengeneza simu unayotumia, mmiliki wa JF, Mmiliki wa Mtandao wa simu unayotumia, hata hizo nguo unazovaa asilimia kubwa aliyetengeneza sio Muislam. Kwahiyo utaacha kutumia kuanzia leo?
 
Hii kalenda tunayotumia,Gregorian Calendar ilikuja baada ya Julian Calendar, zote zina uhusiano na Issa ndio maana utakuta maneno kama AD au BC yote yanamrefer Nabii Issa.

Sasa sisi Waislam imekuwaje hatulijui hili au kufuata mkumbo? au ndio dunia inaongozwa na mfumo Kristo?
Sehem ambayo mkoloni alituweza ni hili la dini, halafu wa- Afrika wanajifanya kuijua dini kuliko hata walioileta. Kil kitu wanahusisha na kukitazama kidini, very stupid people. Analalamika hili la mwaka mpya lkn unakuta amepanga kwa mkristu, ana ndugu wakristu, simu imetengezwa na wakristu, chupi ni mtumba toka nchi ya kikristu n.k
 
Unachanganya mambo acha ujinga uwe na tabia ya kuhoji mambo kwa upana wake,simu imeingiaje humu,mwaka mpya ni sawa na pasaka, na krismas sasa muislam kusherehekea pasaka na krismas kwa kupiga madebe na fataki ni sawa,timia akili kuwaza sio makamasi
 
Mtoa mada mbona unakuwa hivyo? Haya nikukumbushe tu hata aliyetengeneza simu unayotumia, mmiliki wa JF, Mmiliki wa Mtandao wa simu unayotumia, hata hizo nguo unazovaa asilimia kubwa aliyetengeneza sio Muislam. Kwahiyo utaacha kutumia kuanzia leo?
Twende taratibu,sijasema vitu vilivyoasisiwa na wakristo havifai kwa muislam,naomba ugoogle kidogo ujue,julian calendar,gregorian calendar na papa gregory,utakuja kugundua kuwa muislam safi hii kalenda haimuhusu maana inamtukuza Yesu
 
Mimi sisherehekei sherehe yeyote kinyume na eid mbili zinazofahamika.
Sizungumzii wewe, nazungumzia Waislam wote.

Mbona hatujawahi kuwasikia nyie waislam mkipiga kelele kukemea sherehe za Mapinduzi, Muungano na Uhuru?

Mnasherehekea hizo sikukuu kwa zaidi ya miaka 60, mbona hamjawahi kuzipinga popote?
 
Hivi umeniona nikisherehekea?! au ndo unatafuta ugomvi kwa nguvu, nimeshakwambia sisi hatusherehekei zaidi ya eid mbili katika mwaka.
"Sisi hatusherehekei", sisi kina nani?

Wale wanaosherehekea Mapinduzi day na Muungano day Zanzibar ni dini gani?
 
Sijui niongee lugha gani ili unielewe?!!--- Kwangu mimi kwenye hiyo kalenda manufaa ninayopata ni matumizi katika kujua muda tu (time consciousness), sioni manufaa au sababu ya kusheherekea mwaka mpya wa hiyo kalenda, sana ninachoweza kusema ni; Mungu amjalie malipo mema Papa Gregory kwa uvumbuzi wa hiyo kalenda yenye manufaa kwa binadamu, nasema hivyo kwasababu Mtukufu mtume Muhammad (saw) amepata kusema; Yule ambaye hamshukuru mtu hawezi kumshukuru Mungu.--- Shukrani kwa huyo papa ni bora kuliko sherehe ya mwaka mpya wa hiyo kalenda.
Jifunze kujibu swali unaloulizwa na sio kuandika magazeti.

Nimekuuliza, Kama unaona Faida ya huo mwaka wa Papa Gregory na unautumia kila siku, KWA NINI UNAONA NI DHAMBI KUUSHEREHEKEA?

(swali linalotakiwa kujibiwa liko in capital letters hapo)
 
Mfumo unaoongoza dunia ni mfumo wa kikristo, hii imesetiwa hivyo kuivunja ni ngumu, kuna dini ilikuja nyuma ikaanza kusimika mfumo wake lakini imeshindwa na haitaweza daima, hiyo dini inafuata mfumo wa kikristo bila kupenda, hakuna namna itabidi ifuate tu
 
Tatizo islamic wengi wana misimamo ya kifamba sana, nakumbuka wakati niko sec tulisoma na waarabu, sasa kuna mwarabu mmoja alinishika kama kunitomasa(siwapendagi hawa binadamu), nakumbuka nilimwambia we na nywele kama nguruwe unikome kabisa,, he he he he heeeeee kulikuwa na wadada waafrika wenzangu ila waislam walinishukia km mwewe eti niombe samahani niliwaambia kateni shingo yangu mtupe siombi msamaha na nikasisitiza anafanana na nguruwe kabisaaa kuanzia macho sura na nywele,, wakanitishia kunisomea albadiri nikawaambia wakasome ila kabla haijafika kwangu itaanzia kwao wakaufyata na sikuwahi kuelewana nao mpaka tunamaliza shule,
Vimisimamo vya kisenge kisenge ushari na ubaguzi tu
 
Wewe nimekupenda bure
 
Dah! Kwa mtazamo wangu ulichokifanya ni sahihi ila 50/50 kumfananisha binadamu na mnyama huo ni ubaguzi (racism) hata wewe hutajisikia poa mtu wa race nyingine akufananishe na mnyama.

Wewe umekosewa na mwarabu mmoja ila wewe umewakosea waarabu wote.
Ungemkata vibao vya uso chap halafu ungemchana aache ujinga.
 
Sizungumzii wewe, nazungumzia Waislam wote.

Mbona hatujawahi kuwasikia nyie waislam mkipiga kelele kukemea sherehe za Mapinduzi, Muungano na Uhuru?

Mnasherehekea hizo sikukuu kwa zaidi ya miaka 60, mbona hamjawahi kuzipinga popote?
Mkuu umelala usingizi wa kutosha kweli? tangu lini jambo la dini likahukumiwa kwasababu watu ndio wafanyaji? mimi nakupa muongozo wa uislamu wewe unaniambia mbona miaka yote mnasherehekea.

Au unazungumzia wazanzibar na watanganyika.
 
"Sisi hatusherehekei", sisi kina nani?

Wale wanaosherehekea Mapinduzi day na Muungano day Zanzibar ni dini gani?
Namaanisha waumini wa dini ya kiislamu wanaofuata muongozo wa dini yao, sikusudii watu wasio na uelewa kuhusu dini yao wale wanaofuata tu hata kuswali hawaswali, hawa wanafanya makubwa kuliko hata hizo sherehe.
 
Mkuu una cheti cha kuzaliwa?
Kama unacho kinaonesha mwaka gani ?
Inatakiwa hata vyeti vya kuzaliwa vyenye miezi na miaka ya vipagani tuvikatae
 
Back
Top Bottom