Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,191
- 677
anawashukuru akina slaa na wenziwe kwa kuwachangamsha katika kipindi cha kampeni na kuwafanya wafanye kazi zaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tupo pamoja. Kama mimi nimeendelea kuipenda liverpool pamoja na kuboronga kwake msimu huu basi nataendelea kuwa mwana Chadema mwaminifu daima. Mbele kwa mbele nyuma mwikonitabaki kuwa mwanaCHADEMA, naamini Dr Slaa kashinda uchaguzi huu. hata km watu wote watahongwa na CCM nitabaki CHADEMA peke yangu na 2015 nitaipigia kura tena CHADEMA. kama walivyo washabiki wa liverpool very royal to their club ingawa mie sio mshabiki wa liverpool ndivyo nilivyo kwa CHADEMA, I WILL NEVER WALK ALONE! hence CHADEMA WILL NEVER WALK ALONE!
Wana JF naomba mnijulishe kama kuna Ofisi za Chadema UK na ziko wapi nikachukue kadi kabisa. Jamaa zangu wengi hapa ni wale wa kujikomba CCM na sitaki kuwauliza.
Tupo pamoja. Kama mimi nimeendelea kuipenda liverpool pamoja na kuboronga kwake msimu huu basi nataendelea kuwa mwana Chadema mwaminifu daima. Mbele kwa mbele nyuma mwiko
Tupo pamoja. Kama mimi nimeendelea kuipenda liverpool pamoja na kuboronga kwake msimu huu basi nataendelea kuwa mwana Chadema mwaminifu daima. Mbele kwa mbele nyuma mwiko
Ya nini hayo mbele ya kadamnas.Si wana nyumba yao iliyozibwa kwa kuta na mapazia.nina maana alipofika kwa Salma angemkumbatia na kumpa mabusu yenye bashasha, mbwembwe na madoido
CCM ndio ilipandikiza chuki kwa kutumia magazeti yake ya Uhuru, Mzalendo, Sauti Huru, Changamoto, Jambo Leo, Rai na Ntanbaadhi ya maeneo anasema kulipindikizwa chuki za kidini na anasema kazi ya ccm ni kurejesha taifa katika hali ilio mwanzo
Wee nawe leo!!JK atahudumia muda si mrefu kuna watumbuizaji kama Marlaw, Msondo Ngoma na wasanii wa THT no wonder Kusanga and the company wanajikomba kinoma kwa JK
Oyee!kikwete kaanzia kuhutubia yake ya kwanza kwenye kipindi hiki kipya na kaanza kwa kusema
watanzania Oyeee