Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Sherehe za miaka 56 ya Uhuru wa Tanzania Bara(Tanganyika): Babu Seya na Wafungwa wengine 8,157 Wasamehewa

Kuna mdau alitabir mapema mods wakaondoa uzi wake
 
Hatari sana Wakuu.
Yule mwanamiziki mashuhuri Nguza Viking Na mwanawe Leo kupitia msamaha wa Rais Pombe Magufuli wameachiwa huru kuanzia Leo.
 
Hakuna rangi mtaacha kuiona kwa Ngosha kudadeeki.

Kwahili sina la kusema.
 
Ndiyo. Lowasa aliyasema haya akiwa anajinadi kuusaka urais kupitia chadema. ccm tulilipinga suala hili.
 
Safi sanaaaaaaa President [emoji106][emoji106][emoji106]
 
Back
Top Bottom