mavi ya bata. kila siku tanzania mpya tangu kipindi cha kampeni hamna jipya mnatafuta attention tu.Nafatilia hapa naiona Tanzania mpya chini ya jpm
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mavi ya bata. kila siku tanzania mpya tangu kipindi cha kampeni hamna jipya mnatafuta attention tu.Nafatilia hapa naiona Tanzania mpya chini ya jpm
hawa watu hawana plan wala mikakati wanapuyanga tuHata viwanda tuliambiwa vipo 4,000 sijui vipo wapi.
Ndukiiiii 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Wasingegawiwa ungepata hilo swali? PatheticLeo marais wastaafu wamepewa ndege aina ya tausi, tausi hawa sidhani kama wapo sehemu nyingine yoyote hapa nchini zaidi ya ikulu, je, tausi hawa hawafai kupelekwa kwenye mbuga za taifa na wakaonwa na wananchi zaidi ya waliopo ikulu?
Hivi tausi wanaliwa
Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!
Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
Kwa hiyo unajikinga na boda boda kupiga mawe ikulu? Haki ya Mungu mkuu una akili mgando!Elewa hii ni nchi tunayotamani kuwa Taifa kubwa, Huwezi kuwa na Ikulu kama ya vinchi vingine ambako hata Boda Boda wanaweza kwenda kupiga mawe Ikulu
Ile waliyojenga ya kwanza imeonekana mbaya sasa wanajenga nyingine tena.Hivi wanazindua ujenzi wa Ikulu au jengo jipya la Ikulu!
Agiza lako ujinafasi.Mimi mgonjwa sana wa magari Haya Ma Land cruiser ya state house yapo vizuri mno duh. Tyre mpyaaaaaa
Mambo ya kalumanzila hayoNdugu zangu great thinkers karibuni tujadili pamoja jambo hili,maana nimekuwa nikijiuliza sana jambo siku nyingi huyu ndege analiwa ikulu tu na kufugwa huko huko na kwa nini hawezi kufugwa kama tunavyofuga mifugo mingine kama kuku,bata,kanga,kware kwa nn huyu yuko hapo karibuni wajuvi wa mambo mtueleweshe mm na wengine tusiojua vzr mambo haya.