Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii ni kweli mzeeHata jengo letu la bunge ni kubwa na la kifahari kuliko Mabunge yote hapa E/Africa na kwa ufahari imelizidi bunge la UK(wafadhili wetu) na imetufanya tuwe taifa kubwa sana sasa hivi.
HahahahUzi umekaa kipambe zaidi sijaona la ajabu mbali na kuhonga Taus.Andika kwa utulivu sio ushabiki.
Vibari vya kuwamiliki anatoa Rais tu.Hakuna aliyesema wanapelekwa mbugani, tausi ni ndege wanaoweza kuishi porini, toka baada ya Uhuru ndege hawa wapo ikulu na hakuna jitihada zozote zilizofanyika waweze kufugwa sehemu nyingine yoyote hapa nchini! Kwanini?
Mimi sijui. Ninaamini kwa miaka yote hii toka Uhuru wangetawanywa huenda tungekuwa na maelfu ya ndege hawa, ni nini kinazuia watu wa mikoani wasiweze kuwaona ndege hawa mikoani kwao?
Kwenye hizi hafla za kiserikali inakuwaje wakati wa Dua na Maombi kunakuwa na rundo la maaskofu huku sheikh anakuwa mmoja tu hii inamaanisha nini? Wakati dini hizi zote ni sawa na kama madhehebu kila dini inayo kadhaa sasa inakuwaje wengine kila dhehebu waende kivyao lakini wengine wawakilishwe kijumla jumla tu, Nashauri haya mambo ya dua na maombi yaondolewe tu.
Kuna siku majirani wa hapo Ikulu Chamwino walikua wanalalamika hawana maji.Vile vibati bati mbele ni nyumba za raia?
Unateseka sana mdauKwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!
Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
G msigwa-Wataweza kwelii? Hawaweziiiiii... Hii imeekaaje? kina Nani ?
Watakuwa wapo madrasa wanafunza watototoKwenye hizi hafla za kiserikali inakuwaje wakati wa Dua na Maombi kunakuwa na rundo la maaskofu huku sheikh anakuwa mmoja tu hii inamaanisha nini? Wakati dini hizi zote ni sawa na kama madhehebu kila dini inayo kadhaa sasa inakuwaje wengine kila dhehebu waende kivyao lakini wengine wawakilishwe kijumla jumla tu, Nashauri haya mambo ya dua na maombi yaondolewe tu.
Tausi ni ndege wa mbugani tu kwa baadhi ya nchi duniani, ingefaa kama wangeruhusiwa kufugwa. Na wangesambazwa wawe wengi nchini kutokana na ufugaji binafsi.Leo marais wastaafu wamepewa ndege aina ya tausi, tausi hawa sidhani kama wapo sehemu nyingine yoyote hapa nchini zaidi ya Ikulu. Je, tausi hawa hawafai kupelekwa kwenye mbuga za taifa na wakaonwa na wananchi zaidi ya waliopo Ikulu?
Povu limekutoka Haswa, nini Shida?Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!
Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.