Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Kwani tunajenga Ikulu ili ishindane na nyinginezo duniani au yawe ni Malazi tu ya Rais ambaye 24/7 anawaza Maendeleo na Changamoto za Watu?
 
Uzi umekaa kipambe zaidi sijaona la ajabu mbali na kuhonga Tausi. Andika kwa utulivu sio ushabiki.
 
Hata jengo letu la bunge ni kubwa na la kifahari kuliko Mabunge yote hapa E/Africa na kwa ufahari imelizidi bunge la UK(wafadhili wetu) na imetufanya tuwe taifa kubwa sana sasa hivi.
Hii ni kweli mzee
 
Kwa hii mikao mzee Magu na mama Maria nimewaelewa. Naona akajishtukia akasogeasogea karibu kidogo na JK..Piga kelele kwa Koona akeeeeeee
 
Mungu aendelee kuibariki Nchi yetu

Najivunia kuwa Mtanzania
 
Vibari vya kuwamiliki anatoa Rais tu.
 
Waislamu mnapenda deka
 
Podium hii haieleweki rangi ya njano haipo,mauwa ya karafuu na pamba hayaonekani,ipoipo tu
 
Unateseka sana mdau
 
Watakuwa wapo madrasa wanafunza watototo
 
VYA KUZINDUA VIMEISHA KWA HIYO MMEAMUA KUWAPOTEZEA TU WATU MUDA
 
Kwani tunajenga Ikulu ili ishindane na nyinginezo duniani au yawe ni Malazi tu ya Rais ambaye 24/7 anawaza Maendeleo na Changamoto za Watu?
Jenga kwako mzee ukikomalia ya rais utakufa maskini
 
Leo marais wastaafu wamepewa ndege aina ya tausi, tausi hawa sidhani kama wapo sehemu nyingine yoyote hapa nchini zaidi ya Ikulu. Je, tausi hawa hawafai kupelekwa kwenye mbuga za taifa na wakaonwa na wananchi zaidi ya waliopo Ikulu?
Tausi ni ndege wa mbugani tu kwa baadhi ya nchi duniani, ingefaa kama wangeruhusiwa kufugwa. Na wangesambazwa wawe wengi nchini kutokana na ufugaji binafsi.
 
Povu limekutoka Haswa, nini Shida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…