Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Naona wameamua kumuhujuma mzee Kikwete.

Hawana imani nae kwa lugha zake..[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mh. Kikwete jamaa alikuwa more than presidential material.

Huchoki kumskiliza akihutubia kila neno linalotoka kinywani mwake ni zaidi ya chakula.
 
Ngoja nione tofauti kati ya JK na JPM leo maana wote wanaongea. Nachambua kwa umakini mkubwa
 
Pia ni Ikulu maridadi na kubwa kuliko zote Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…