Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Itajengwa kama Ikulu za Dar kasoro Basement tu
 
History ya Ikulu ya Dar itabaki kama ilivyo
 
Anajisikia raha kuwa Chamwino kuwa ni pazuri
 
Vijana wa JKT waliojitolea 2400. Wameambiwa wamalize ujenzi afu...
 
Watanzania ni waoga Kama fisi,Jana kikwete anakagua hostel kavaa barakoa Leo corona hamna hakuna aliyevaa aisee kweli jiwe kiboko yao huyu jamaa atakuwa anatumia dawa ya simba from kuzimu yaan unaogopwa na kila mtu
Ha ha haaaaa
 
Inashangaza kutokuona hadhara hii haichukui tahadhari ya corona
 
Ndio tatizo la kuwa na viongozi wasio na maono
Ni matumizi mabaya ya Kodi zetu za kizazi cha sasa badala ya kutumika kutatua shida zetu zimetumika eti kujenga majengo ya kumuenzi Mtu aliyepita ambae kizazi cha sasa akimjui
 
Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!

Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
Halafu halina tija kiuchumi kitaifa, tatizo la ajira liko palepale.
Tofauti Kama zingewekezwa kwenye kilimo
 
Ndugu zangu great thinkers karibuni tujadili pamoja jambo hili,maana nimekuwa nikijiuliza sana jambo siku nyingi huyu ndege analiwa ikulu tu na kufugwa huko huko na kwa nini hawezi kufugwa kama tunavyofuga mifugo mingine kama kuku,bata,kanga,kware kwa nn huyu yuko hapo karibuni wajuvi wa mambo mtueleweshe mm na wengine tusiojua vzr mambo haya.
Ungeanzisha uzi wake kabisa Huku mbali
 
Back
Top Bottom