Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pia ni Ikulu maridadi na kubwa kuliko zote Duniani
Umri unachangiaMwinyi kama vile kasinzia
Ikulu zote nchini wapo tayariHukuona Kenyata alipokuja Chato tulimgawia kutoka kwenye stock yetu pale Chato ?
Ikulu zote nchini wapo tayari
Ha ha haaaaaWatanzania ni waoga Kama fisi,Jana kikwete anakagua hostel kavaa barakoa Leo corona hamna hakuna aliyevaa aisee kweli jiwe kiboko yao huyu jamaa atakuwa anatumia dawa ya simba from kuzimu yaan unaogopwa na kila mtu
Ni matumizi mabaya ya Kodi zetu za kizazi cha sasa badala ya kutumika kutatua shida zetu zimetumika eti kujenga majengo ya kumuenzi Mtu aliyepita ambae kizazi cha sasa akimjui
Inashangaza kutokuona hadhara hii haichukui tahadhari ya corona
Sio kwenye uongozi huuVery soon wataanza wauza
Halafu halina tija kiuchumi kitaifa, tatizo la ajira liko palepale.Kwahiyo eneo la ikulu kuwa kubwa nayo siku hizi ni dili la kujitangaza? Madikteta bwana. Si mtu anaweza kutumia uwendawazimu akazungushia mkoa mzima wa Arusha ukuta akaugeuza kuwa eneo la ikulu? Ni jambo tu la kuwa mwendawazimu kisha unaamua. Hizo tunaita simple logic!
Yani unahodhi eneo kubwa liwe ikulu ili ujitangaze kuwa una eneo kubwa la ikulu? Anajua madhara yake huyo? Siku atakuja kurudi Dar na alivyo muoga hata wa mjusi ngoja tuone.
Ungeanzisha uzi wake kabisa Huku mbaliNdugu zangu great thinkers karibuni tujadili pamoja jambo hili,maana nimekuwa nikijiuliza sana jambo siku nyingi huyu ndege analiwa ikulu tu na kufugwa huko huko na kwa nini hawezi kufugwa kama tunavyofuga mifugo mingine kama kuku,bata,kanga,kware kwa nn huyu yuko hapo karibuni wajuvi wa mambo mtueleweshe mm na wengine tusiojua vzr mambo haya.