Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Itajengwa kama Ikulu za Dar kasoro Basement tu
 
History ya Ikulu ya Dar itabaki kama ilivyo
 
Anajisikia raha kuwa Chamwino kuwa ni pazuri
 
Tuimbe ule wimbo wimbo,kwa sababu ushindi ni wetu tena.
 
Vijana wa JKT waliojitolea 2400. Wameambiwa wamalize ujenzi afu...
 
Watanzania ni waoga Kama fisi,Jana kikwete anakagua hostel kavaa barakoa Leo corona hamna hakuna aliyevaa aisee kweli jiwe kiboko yao huyu jamaa atakuwa anatumia dawa ya simba from kuzimu yaan unaogopwa na kila mtu
Ha ha haaaaa
 
Inashangaza kutokuona hadhara hii haichukui tahadhari ya corona
 
Ndio tatizo la kuwa na viongozi wasio na maono
Ni matumizi mabaya ya Kodi zetu za kizazi cha sasa badala ya kutumika kutatua shida zetu zimetumika eti kujenga majengo ya kumuenzi Mtu aliyepita ambae kizazi cha sasa akimjui
 
Halafu halina tija kiuchumi kitaifa, tatizo la ajira liko palepale.
Tofauti Kama zingewekezwa kwenye kilimo
 
Ungeanzisha uzi wake kabisa Huku mbali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…