Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
wakulima mpooo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli kiboko jomoni
mboweeeee baridiiiii jotooooMagufuli Mzee wa kumuogopa Mbowe
Mbowe jotojoto kwa ccmmboweeeee baridiiiii jotoooo
Serikali ya UJENZI hii boss.Halafu halina tija kiuchumi kitaifa, tatizo la ajira liko palepale.
Tofauti Kama zingewekezwa kwenye kilimo
Tutaendelea walaumu wazungu huku tukiwa ombaomba Hadi Yesu atakaporudiUtazeeka ombaomba
Thus awekezwi kwenye kuendeleza watu si kipaumbele chakeAnataka akumbukwe yeye kwenye structures
Anataka awekeze kwenye kukumbukwa kupitia majengo.Hiki ni kiwango cha juu Sana cha ubinafsi unaoliumiza taifaSerikali ya UJENZI hii boss.
Warudi nyumbaniVijana wa JKT waliojitolea 2400. Wameambiwa wamalize ujenzi afu...
Si tija kiuchumi,labda kwenye sifa anataka akumbukwe kupitia majengo thus anajenga uwanja wa mpira Chato usio na tija kiuchumiHivi ikulu, kwa lugha ya kibiashara, ni asset au liability? Kwa nchi yetu ilivyomaskini, juzi tu tumeomba mkopo kutoka ufaransa kwa ajili ya miradi ya maji harafu leo, tunatenga pesa kujenga ikulu, nyingine, Dodoma ipo ikulu ndogo Eneo la uzunguni, akili za mtu mweusi,
Ingekuwa Raisi yupo akiwapokea wataaalamu wetu waliorudi kutoka masomoni Karl nyanja za kilimo, sayansi, au angekuwa amefungua kiwanda cha kwanza cha vitu vya IT, ingekuwa poa sana, sasa hilo li ikulu, linaongeza gharama tu, umeme, maji, matunzo, fucking Black Africans brain!