Kumbe unajua kuwa alama ya ? Ndiyo huwakilisha swali. Sasa kama hujaiona, kiherehere gani kinakufanya ufikiri kuwa nimeuliza swali?Unauliza mkuu au?Matumizi ya alama hakuna?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe unajua kuwa alama ya ? Ndiyo huwakilisha swali. Sasa kama hujaiona, kiherehere gani kinakufanya ufikiri kuwa nimeuliza swali?Unauliza mkuu au?Matumizi ya alama hakuna?!
Kasemaje kwani mheshimiwa?comments za hili bandiko hazifiki hata 200 licha ya muhusika kuongea muda wote huu mpaka sasa amemaliza hizi ni dalili kuwa magufuli amechuja sana aachane na mpango wa kugombea urais tena.
We ulipaswa kuwa level ya kujua kutokuandika na kusoma. Comment yako haifanani na mada iliyopo.Wajenge na vyumba vya kupanga ili sisi makapuku tuje tupange hapo ikulu
Ni matumizi mabaya ya Kodi zetu za kizazi cha sasa badala ya kutumika kutatua shida zetu zimetumika eti kujenga majengo ya kumuenzi Mtu aliyepita ambae kizazi cha sasa akimjui
Magufuli kiboko jomoni
KunguruKwan kuna ndege asieliwa?
Msiwatupie mabeberu lawama juu ya umasikini wa kujitakia lkn ni kuwaonea.Mlaumu baba ako Mkuu, Ikulu itajengwa tu
Msiwatupie mabeberu lawama juu ya umasikini wa kujitakia lkn ni kuwaonea.
Lini mmewahiMabeberu Lazima tuwalaumu wakituchelewesha
Naona msukuma mwenzangu kaanza kutoa Takrima. Ndege tausi 25 kwa kila Rais mstaafu. Naona kaona aibu maana yeye alishapeleka Tausi kwake Chato muda mrefu tu.
Tumethubutu, na tunaendelea kuthubutu kama nchi huru. Viva Tanzania
kasema ‘ihiiiiiiii!’Kasemaje kwani mheshimiwa?
Na mikono walikua wanapeana mkuuKumaanisha kuwa li-Covid 19 halituhusu wabongo sema wachache wetu wanajipendekeza kwalo, hakuna aliyevaa chupi ya mdomo(barakoa) hata mmoja.
Naona msukuma mwenzangu kaanza kutoa Takrima. Ndege tausi 25 kwa kila Rais mstaafu. Naona kaona aibu maana yeye alishapeleka Tausi kwake Chato muda mrefu tu.