Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Sherehe za ujenzi wa Ikulu ya Chamwino, Dodoma. Rais Magufuli na Marais Wastaafu washiriki kuweka jiwe la msingi

Unauliza mkuu au?Matumizi ya alama hakuna?!
Kumbe unajua kuwa alama ya ? Ndiyo huwakilisha swali. Sasa kama hujaiona, kiherehere gani kinakufanya ufikiri kuwa nimeuliza swali?
 
comments za hili bandiko hazifiki hata 200 licha ya muhusika kuongea muda wote huu mpaka sasa amemaliza hizi ni dalili kuwa magufuli amechuja sana aachane na mpango wa kugombea urais tena.
Kasemaje kwani mheshimiwa?
 
Mlaumu baba ako Mkuu, Ikulu itajengwa tu
Ni matumizi mabaya ya Kodi zetu za kizazi cha sasa badala ya kutumika kutatua shida zetu zimetumika eti kujenga majengo ya kumuenzi Mtu aliyepita ambae kizazi cha sasa akimjui
 
Kwa wapuuzi kama wewe. Sherehe ya mamillioni inawasaidia vipi Wafanyakazi, wakulima na wafanyabiashara ambao wananyanyaswa na kudhulumiwa na serikali hii dhalimu!?

Upuuzi unazidi KUSHAMIRI Nchini.

Magufuli kiboko jomoni
 
Back
Top Bottom