Huna kosa kwenye macho ya sheria..kwa sababu kama ungekuwa unajua kuwa yule mwanamke kwenli kaolewa ana mume wako Kabisa, hapo ungekuwa na kosa na ungeshitakiwa kwa kula mke wa mtu .lakin kwakuwa mwanamke alikataa kama kaole a badala yake ni single mother...hiyo sababu pekee inakuondolea kosa!
Nenda ustawi wa jamii ukaeleze lengo na Nia y'ako....( Pia wape background) Hadi mfike hapo mlipo...simple mtoto utamchukua...maana tayar ushahidi wa majirani kama mtoto yupo kwenye hatare, na utambeba kikubwa tuh awe hanyonyi...., Ila kama mazingira yakiwa salama kwa mama yake huwezi kumchukua akiwa Mdogo