Sheria inasemaje kuhusu kuzaa na mke wa mtu?

sawa
 
Na huenda huko kwa mchepuko vimechachuka, na huyo mwanamke miaka 4 mtu kanitelekeza halafu aje kunisumbua? Weee hapatatosha siwezi kuwa mnyonge kabisa
 
Hana kosa lolote maana alipata ushirikiano mkubwa toka kwa mwanamke...na pia ukiangalia mda aliokaa huyo mune wake miaka minne...mingi mno...hapa mwanamke ndo Mwenye makosa maana alidanganya!! Jamaa hana kosa,hapa aende tuu ustawi wa jamii...
 
Huna kosa kwenye macho ya sheria..kwa sababu kama ungekuwa unajua kuwa yule mwanamke kwenli kaolewa ana mume wako Kabisa, hapo ungekuwa na kosa na ungeshitakiwa kwa kula mke wa mtu .lakin kwakuwa mwanamke alikataa kama kaole a badala yake ni single mother...hiyo sababu pekee inakuondolea kosa!

Nenda ustawi wa jamii ukaeleze lengo na Nia y'ako....( Pia wape background) Hadi mfike hapo mlipo...simple mtoto utamchukua...maana tayar ushahidi wa majirani kama mtoto yupo kwenye hatare, na utambeba kikubwa tuh awe hanyonyi...., Ila kama mazingira yakiwa salama kwa mama yake huwezi kumchukua akiwa Mdogo
 
swa

sawa mkuu tayari nimeanza utaratibu wa kumaliza hili nategemea jumanne nitaleta mrejesho hapa
 
Hivi mkuu umesoma na kumuelewa metal mada? Au umekuja na makasiriko ya kuliwa huyo mke wa mtu bila kuzingatia content ya mleta uzi?

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
1. Katazame kwanza DNA.

2. Pelka maombi Mahakamani (ya watoto), kuomba kulea na kumtunza mwanao.

Magomvi yao, waachie wenyewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…