Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Leo mzee wa kulalamika Daily,
Nimechoka na makato ya NMB
Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo,
Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji,
Sijui makato ya Mastercard n.k
Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi,
Ndio akanipa majibu hayo
Eti siwezi kuhamisha mshahara kwakuwa nina mkopo NMB,
Nikawauliza kwa sheria gani?
Wakasema NMB ndio wana sheria iyo kwa wateja wenye mkopo...
Je ni kweli kuna sheria inayomkataza mfanyakazi kupokea mshahara wake bank nyingine eti kisa ana mkopo?
#bigUpKenya