Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 744
- 1,621
Inawezekana 100% sema mna HR kilaza.Leo mzee wa kulalamika Daily,
Nimechoka na makato ya NMB
Nikaona nihamishe mshahara kwenye bank nyingine yenye makato nafuu kidogo,
Nikapata bank moja hivi wenyewe hawana makato ya uendeshaji,
Sijui makato ya Mastercard n.k
Wakanipa fomu yao nipeleke kwa afisa utumishi,
Ndio akanipa majibu hayo
Eti siwezi kuhamisha mshahara kwakuwa nina mkopo NMB,
Nikawauliza kwa sheria gani?
Wakasema NMB ndio wana sheria iyo kwa wateja wenye mkopo...
Je ni kweli kuna sheria inayomkataza mfanyakazi kupokea mshahara wake bank nyingine eti kisa ana mkopo?
#bigUpKenya
Mzee Unawashushua SanaSafi,kompliaction ambazo hazina maana,utakuta mshahara wenyewe 500K,makato unayolalamikia hayazidi elfu kumi,shida iko wapi,jifunze kupotezea
Duh,mimi mwenyewe mshahara wangu unapitia NMB,sijawahi kuwaza makato anayoyaelezea mtoa mada,Mzee Unawashushua Sana
Nipotezee Makato?Safi,komplication ambazo hazina maana,utakuta mshahara wenyewe 500K,makato unayolalamikia hayazidi elfu kumi,shida iko wapi,jifunze kupotezea
Siyo KWELI.Ni Sheria ya BOT.
Pia ni lazima ukope unapokelea mshahara.
So ukitaka kukopa bank ingine ni lazima uhamishe mshahara kwenye hio bank unayotaka kukopa.
So utafanya kazi ya kuhama bank
Siku acha hata elf 50 humo kwenye akaunti halafu baada ya wiki kaangalie salioDuh,mimi mwenyewe mshahara wangu unapitia NMB,sijawahi kuwaza makato anayoyaelezea mtoa mada,
Mkuu acha ulalamishi,mimi take home yangu ni 200K,ila sijawahi kuta pesa imepungua kufikia kiwango cha kuhama benkiNipotezee Makato?
Kwani nawafanyia kazi wao tuu,
Halafu mshahara wangu ukiwa 500k,
Ndio ukatwe?
Hata mimi najua hivyo,Siyo KWELI.
Mtu mshahara wake unaweza kuwa unapitia PBZ ila kwa wakati huohuo akawa na mikopo
NMB, CRDB, NBC et al
Sasa kama upo kijijini kuna bank moja tu ,Mkuu acha ulalamishi,mimi take home yangu ni 200K,ila sijawahi kuta pesa imepungua kufikia kiwango cha kuhama benki
Huo ndo ukweliHata mimi najua hivyo,
Mikopo inalipwa kwa check number sio akaunti,
Sema wezi wanateteana
Mkopo unakatwa kwenye check number,Wakati unachukua mkopo si lazima ulisoma vigezo na masharti?
Benki walikuamini kukupa fedha yao kwa kuwa fedha zako zitapitia kwao ili wajirudishie hela yao halali.
Sasa wewe unataka kuhamisha magoli saa hizi?
Pambana tu umalize deni la watu ndugu.
TrueSiyo KWELI.
Mtu mshahara wake unaweza kuwa unapitia PBZ ila kwa wakati huohuo akawa na mikopo
NMB, CRDB, NBC et al
Nina mkopo crdb na azaniaTrue
Kijiji gani hicho?Sasa kama upo kijijini kuna bank moja tu ,
Unataka uhame kwenda wapi zaidi ya kuvumilia tuu
Unaweza kuwa na mikopo CRDB, NMB, PBZ, NBC etc kwenye salary slip moja na mshahara wako ukaendelea kuupokelea TCB.Wakati unachukua mkopo si lazima ulisoma vigezo na masharti?
Benki walikuamini kukupa fedha yao kwa kuwa fedha zako zitapitia kwao ili wajirudishie hela yao halali.
Sasa wewe unataka kuhamisha magoli saa hizi?
Pambana tu umalize deni la watu ndugu.
Nashauri u some vema mkataba wa mikopo wako,huenda masharti yaliwekwa humo.Leo mzee wa kulalamika Daily,