Sheria kuu 5 kwa mwanaume

6.Usioe mwanamke anayeamini na kuwa na hofu na sangoma
 
Hakika mola awarehemu. Sisi sote ni wake na kwake tutarejea
Wangekuwa wanajua hayo wangeacha tamaa za dunia na kuwaeshimu waume zao,
single mother wengi wao ni laana na ni mabingwa wa kuwang'ng'ania watoto ila malezi ni zero ni mwendo wakutengeneza kizazi cha hovyo!!!
Nina mueshimu mwanamke aliyefiwa na mume tu anayeitwa mjane!!
 
Bin adamu woote wako sawa mbele ya allah, yeye ndiye molah wetu mlezi
Aliye kinyume na allah na mtume wake mohammad, huyo ni kafir, naye atachomwa moto siku ya kiama. Asalaam aleykum
em acha zako allah ni nan?, binadamu acheni ujinga, dini zenu za kukaririshana alafu kila mmoja anamwona mwenzie kapotea na yeye yuko right ndio nin?, hamnaga hoja kwasababu hamtumij akili kupima mambo kwa usomaji wa vitabu vya pande mbili, mmewaachia viongozi wawatafsirie na kuwaelekeza.
 
Ilimu akhera utakwenda nayo pepon, ilim dunia utaiacha duniani.
Hosea 4:6 imeandikwa β€œWatu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa;”. Mitume 4:13 imeandikwa "mshike sana elimu, usiache aende zake"
 
Hiyo namba nne nakazia!
 
Kikubwa ni kupata mwanamke ambae atawalea vzr watoto wako na Incase ikatokea umerudisha namba kwa sir God bas watoto wawe kwenye mikono salama
 
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…