Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Dogo acha uvivu tafuta hela usitegemee hela ya mwanamke hata siku moja., mpaka hapo umeshafeli.
Ukiwa unaona watu wengine hawana akili ujue wewe ndio huna , wapi nimeandika mwanamke ampe mwanaume pesa au mwanaume amtegemee mwanamke, unacho takiwa kuweka akilini ni kwamba , Loyalty ni expensive sana , usitegemee kuipata kwa mtu fukara
 
Msisitizo hapo namba 3 akikisha DNA unaenda kupima nje ya nchi hata Nairobi hapo gharama sio kubwa sana. DNA za bongo hata kama matokeo yakija negative unaambiwa ni mtoto wako, wenyewe wanasema.wanalinda masilahi ya mtoto
Ni kweli mpango wa ustawi wa jamii
 
Kutoa upwiru bila ndoa, ni kufru kwa allah..mollah ametu ruzuku kwa sunna ya wake wa 4, hao wote bila shaka wakutosha kuiona pepo ilio kat ya miguu yao, kwa mahabba matakatifu ndani ya ndoa takatifu.
zikizidi tukamwagie wapi
 
Hakika, allah pekee ndio Mungu wa kwel wa kustahil kusujudiwa, enyi makafir, geukeni kwa mola wetu mtukufu na mtume wake M.S.A mpate kuiona nuru na raha ya pepo allah alioiweka kwa mwanamke
Tunakuombea bwana Yesu akuponye na kukutakasa na damu yake. Umeshika dini na inawezekana unayo hofu ya Mungu ila bado ni Illiterate
 
Kutoa upwiru bila ndoa, ni kufru kwa allah..mollah ametu ruzuku kwa sunna ya wake wa 4, hao wote bila shaka wakutosha kuiona pepo ilio kat ya miguu yao, kwa mahabba matakatifu ndani ya ndoa takatifu.
Mmh! Kumbe ukiwa na wake wannne unaiona pepo? Thanks mkongwe FaizaFoxy
 
Back
Top Bottom