Sheria na Busara ni mapacha. Mchungaji Mtikila aliwahi kumwambia Rais Mwinyi ‘watamrudisha Zanzibar kwenye jeneza’, hakuitwa mhaini

Hivyo viclip vya kuungaunga na kutengeneza ndiyo uchochezi ?!.

Ukiambiwa utoe sauti yote (clip nzima) utakuta ni kitu tofauti kabisa.
Wakati Mbowe anatuhumiwa kwa Ugaidi, Mzee Slaa alishauri muufyate muache dola ifanye kazi. nami nkushauri tekeleza ushauri wa Slaa mwenyewe.
 
Hapa ni kufuata tu sheria. Sheria inasemaje na nini kifanyike, katiba inataka nini, pasiwe na mtu juu ya sheria. hapo ndo kunakuwa na kushughulikia na kushughulikiwa!
 
Wakati Mbowe anatuhumiwa kwa Ugaidi, Mzee Slaa alishauri muufyate muache dola ifanye kazi. nami nkushauri tekeleza ushauri wa Slaa mwenyewe.
Huo upenyo unaosababisha watawala kubambikiza kesi ndiyo inayotakiwa izibwe. Ni kweli Dr Slaa aliwahi kusema hivyo na yeye leo yamemkuta, lakini akachanganywa na wanaopigania bandari bila makandokando.

Upenyo huo wa ubambikaji kesi, ni uchochoro wa matumizi mabaya ya vyombo vya dola na vya maamuzi dhidi ya wananchi. Ona sasa watu hawawezi kutetea bandari yao kwa kuogopa kesi za kubambikwa.
 
Umeongea vzr mkuu, wakitaka kuingia ikulu watumie sanduku la kura tu, shawishini mazingira ya kura yawe bora zaidi kama mnavyotaka kupitia marekebisho ya katiba
Ila tusitishie amani ya nchi , ikitoweka sisi wengine hatuna pa kukimbilia kama nyie
 
Samia hana utu na mtu katili sana.
.Viongozi wote Duniani walioletea mafanikio katika Tawala zao walikuwa katili na sisi tunataka Mafanikio

nikupe orodha kwa kifupi?

Joseph Stanlin- Russia
Winston Churchil -UK

Roosevelt -US

Fidel Castro -CUBA

Maotsetung -China
JPM-Tanzania

Hatutaki ma Rais ' Dhaifu' kama Jakaya kucheka cheka na kima na kutuletea ghasia kila kukicha
 
Sqla ya kufunga bar hyo Ni ujinga mno kuliko ujing wenyewe
 
Heri tuvurugane tutaheshimiana kuliko kuonana mafala kiasi hichi
Ni kwa sababu hujaona hasara ya mauwaji , Zanzibar mpaka Leo haijakaa sawa, toka 1964 , mwisho tumekuwa koloni la Tanganyika na tunaendelea kuuliwa kila uchaguzi
 
Hicho kipengere kikikuwa bado hakijachomekwa.
 
Jakaya sio dhaifu acha uboya wewe

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni mpumbavu kabisa, nenda mahakamani ukawasaidie wajinga wenzio kuthibitisha huo uhaini.
 
Sasa kurudishwa na jeneza na KUPINDUA NCHI BORA KIPI UNAVYOONA NDUGU MUANDISHI
 
Mkataba wa Bandari ni mbaya kwa maoni yangu na nishaandika sana maoni yangu kwny hoja husika sana tu mara nyingi

lakini ukichochea ghasia kwa kigezo hicho nakuona adui
lwa kuwa Amani ya Taifa letu haina substitute
Slaa ni haini au sio haini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…