Sheria: Wamiliki wa pool tables watakiwa kuyasajili wapate leseni

pool table nao ni mchezo wa kubahatisha😳😳😳😳
hahahaaa nchi ya wacheza kamari hii wadau waliotunga hii sheria itakua ni wazee wa max loss
 
Pool table sidhani Kama Ni mchezo wa kubahatisha.

Wajitafakari
...hata mie nilikuwa nawaza hapa. Je pool table ni mchezo wa kubahatisha?? Tunakoeleka hata michezo kama drafti, karata, bao tutaambiwa vivyo hivyo
 
Bodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.

GBT yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa kifungu Na. 52 cha sheria ya michezo ya kubahatisha ya mwaka 2003, pool tables zote zinatakiwa kusajiliwa ili kuwezesha uendeshaji wa mchezo huo kihalali.

Taasisi hiyo imesema kuendesha mchezo huo bila usajili ni kinyume cha sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo.
Hawa jamaa imebakia kuwasajili machangu doa na makaka poa tu
 
Upuuuzi mtupu huu hiv kwa nn hawafikrii eti pool table ni mchezo wa kubahatisha
 
Pigo kubwa kwa vijana wa chadema maana ndio wanaoshinda kwenye pool table kutwa nzima
 
Bodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.

Gaming Board of Tanzania (GBT) yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa kifungu Na. 52 cha sheria ya michezo ya kubahatisha ya mwaka 2003, pool tables zote zinatakiwa kusajiliwa ili kuwezesha uendeshaji wa mchezo huo kihalali.

Taasisi hiyo imesema kuendesha mchezo huo bila usajili ni kinyume cha sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo.
Ni mwendo wa Nyundo tu, kila sehemu lazima ipite , watangazaji, Drones ,nk
 
Bodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.

Gaming Board of Tanzania (GBT) yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa kifungu Na. 52 cha sheria ya michezo ya kubahatisha ya mwaka 2003, pool tables zote zinatakiwa kusajiliwa ili kuwezesha uendeshaji wa mchezo huo kihalali.

Taasisi hiyo imesema kuendesha mchezo huo bila usajili ni kinyume cha sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo.
Kodi wanayopata kupitia betting companies hazitoshi, hadi wanaanza kulazimisha vitu tangu lini pool table ni mchezo wa kubahatisha
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Umeona jinsi hii Serikali inavyokandamiza Watanzania wasifurukute au hata kupumua kimaisha. Kwa mwendo huu maisha yatakosaje kuwa magumu?
Namba inaendelea kusomwa kila upande
Miaka mitano ijayo aiseee sijuiii🤦🏼‍♀️
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Umeona jinsi hii Serikali inavyokandamiza Watanzania wasifurukute au hata kupumua kimaisha. Kwa mwendo huu maisha yatakosaje kuwa magumu?
Mwendo wa nyundo tu mpaka vichaa vipone na kila mtu lazima imguse haiwezi 5yrs ipite ivi ivi
 
Back
Top Bottom