Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha! bila kusahau spin shot...hivi hawa watu wanaelewa hata wanachokizungumza kweli? hawa watu wastaafishwe tu maana hawana weledi wa Kazi wala hawajui dunia ilipo.Yaani ufundi wangu wote wa kupiga draw back,follow,screw shot,stop short,two in one halafu uniambie ni mchezo wa bahati?😁😁😁😁,mnitake radhi nyie bodi!Hivyo vitu nimejifunza kwa muda mrefu na sibahatishi!
Nadhani Max loss imehalalishwa sasa.pool table nao ni mchezo wa kubahatisha😳😳😳😳
hahahaaa nchi ya wacheza kamari hii wadau waliotunga hii sheria itakua ni wazee wa max loss