mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwisho wa siku wataanzisha hadi leseni kwa omba omba wasiojiwezaUchumi unayumba pesa inatafutwa kwa nguvu
Wazee wa Kubeti tutakoma mwaka huuBodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.
Gaming Board of Tanzania (GBT) yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa kifungu Na. 52 cha sheria ya michezo ya kubahatisha ya mwaka 2003, pool tables zote zinatakiwa kusajiliwa ili kuwezesha uendeshaji wa mchezo huo kihalali.
Taasisi hiyo imesema kuendesha mchezo huo bila usajili ni kinyume cha sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo.
Pool table n mchezo wa kubahatisha..?
#MaendeleoHayanaChama
Kuna vitu vingine haviingizi pesa kiivyo na vitu vidogo , kitu kama pool table serikali kulitolea macho ni aibu ina maana wamekosa vyanzo vingine vya mapato, mwisho watasema watu wasajili BaiskeliKivip? Si wanatakiwa was ajili ili wapate leseni?
Namba inaendelea kusomwa kila upande
Miaka mitano ijayo aiseee sijuiii🤦🏼♀️
Yani acha kabisa dr.,Hali ni teteNina hofu kubwa maisha yatakuwa magumu sana kuliko hii mitano ya kwanza. Ukiweka na uwezekano wa vikwazo vya kiuchumi vitakavyowekwa na Nchi za Wafadhili AKA MABEBERU kutokana na kuwepo Serikali haramu madarakani fagio la chuma ni lazima lipitishwe.
Na bado wataleta hadi leseni ya kucheza draft na bao...kaeni mkao wa kulaBodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.
Gaming Board of Tanzania (GBT) yenye jukumu la kusimamia uendeshaji wa michezo ya kubahatisha hapa nchini imesema kuwa kifungu Na. 52 cha sheria ya michezo ya kubahatisha ya mwaka 2003, pool tables zote zinatakiwa kusajiliwa ili kuwezesha uendeshaji wa mchezo huo kihalali.
Taasisi hiyo imesema kuendesha mchezo huo bila usajili ni kinyume cha sheria na hatua kali za kisheria zitachukuliwa dhidi ya watakaokaidi agizo hilo.
Kila mtu anatakiwa kulipa kodi. Kazi kweli kweliBodi ya michezo ya kabahatisha Tanzania (GBT) imewataka wamiliki wote wa pool tables kuhakikisha zinasajiliwa na kupatiwa leseni.