Sheria: Wamiliki wa pool tables watakiwa kuyasajili wapate leseni

pool table nao ni mchezo wa kubahatisha😳😳😳😳
hahahaaa nchi ya wacheza kamari hii wadau waliotunga hii sheria itakua ni wazee wa max loss
 
Pool table sidhani Kama Ni mchezo wa kubahatisha.

Wajitafakari
...hata mie nilikuwa nawaza hapa. Je pool table ni mchezo wa kubahatisha?? Tunakoeleka hata michezo kama drafti, karata, bao tutaambiwa vivyo hivyo
 
Hawa jamaa imebakia kuwasajili machangu doa na makaka poa tu
 
Upuuuzi mtupu huu hiv kwa nn hawafikrii eti pool table ni mchezo wa kubahatisha
 
Pigo kubwa kwa vijana wa chadema maana ndio wanaoshinda kwenye pool table kutwa nzima
 
Ni mwendo wa Nyundo tu, kila sehemu lazima ipite , watangazaji, Drones ,nk
 
Kodi wanayopata kupitia betting companies hazitoshi, hadi wanaanza kulazimisha vitu tangu lini pool table ni mchezo wa kubahatisha
 
Reactions: BAK
Umeona jinsi hii Serikali inavyokandamiza Watanzania wasifurukute au hata kupumua kimaisha. Kwa mwendo huu maisha yatakosaje kuwa magumu?
Namba inaendelea kusomwa kila upande
Miaka mitano ijayo aiseee sijuiii🤦🏼‍♀️
 
Reactions: BAK
Umeona jinsi hii Serikali inavyokandamiza Watanzania wasifurukute au hata kupumua kimaisha. Kwa mwendo huu maisha yatakosaje kuwa magumu?
Mwendo wa nyundo tu mpaka vichaa vipone na kila mtu lazima imguse haiwezi 5yrs ipite ivi ivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…