Sheria: Wamiliki wa pool tables watakiwa kuyasajili wapate leseni

Wazee wa Kubeti tutakoma mwaka huu
 
Duuuh, itakuja kwenye draft, bao, karata, PlayStation, mabanda ya mpira,
 
Nina hofu kubwa maisha yatakuwa magumu sana kuliko hii mitano ya kwanza. Ukiweka na uwezekano wa vikwazo vya kiuchumi vitakavyowekwa na Nchi za Wafadhili AKA MABEBERU kutokana na kuwepo Serikali haramu madarakani fagio la chuma ni lazima lipitishwe.

Yani acha kabisa dr.,Hali ni tete
 
Reactions: BAK
R.I.P Tanzania huru. Huu ndio wakati wa kumkataa shetani haki ya mungu.
 
Na bado wataleta hadi leseni ya kucheza draft na bao...kaeni mkao wa kula
 
Kila mtu anatakiwa kulipa kodi. Kazi kweli kweli
 
Yaani ufundi wangu wote wa kupiga draw back,follow,screw shot,stop short,two in one halafu uniambie ni mchezo wa bahati?😁😁😁😁,mnitake radhi nyie bodi!Hivyo vitu nimejifunza kwa muda mrefu na sibahatishi!
 
[emoji44][emoji44][emoji44][emoji2299]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…