Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

Sheria ya goli ni kwamba ni lazima mpira uvuke mstari kwa asilimia 100

Hapana
Ila hilo swali lako ulilomuuliza huyo kolo limenifurahisha.

Nondo ameonesha udhaifu sana
Mimi naona tulitakuwa tuwe na captain kama diarra ingefaa sana


Tatizo anajua French tu
sijui hata kama ataelewa,

kabisa mkuu, captain anatakiwa awe aggressive
 
Uongo [emoji23][emoji23][emoji23]
lakini refereee anasema hana makosa ni wasoma movie kwenye var ndio hawakumshauri vizur 🐒

huenda lile shuti lilitikisa hadi var ujue, tusiwalaumu sana wasoma video 🐒
 
lakini refereee anasema hana makosa ni wasoma movie kwenye var ndio hawakumshauri vizur [emoji205]

huenda lile shuti lilitikisa hadi var ujue, tusiwalaumu sana wasoma video [emoji205]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hapana
Ila hilo swali lako ulilomuuliza huyo kolo limenifurahisha.

Nondo ameonesha udhaifu sana
Mimi naona tulitakuwa tuwe na captain kama diarra ingefaa sana


Tatizo anajua French tu
Aziz Ki anafaa sana ni mpambanaji mzuri na muhamasishaji mzuri. Hata akitolewa kwa sub huko benchi lazima uone anavyowamasisha waliopo uwanjani. Nondo nilishangaa kwenye moment kama ile yeye yupo yupo tu pembeni na Mkude wametulia tuli. Hata goli lilivyoingia ni Azizi ki peke yake ndio alikuwa anashangilia. Sijui wengine walizubaishwa na lipi. Kiufupi wachezaji wenzio hawakuwa kwenye kulipigania hilo goli kwa waamuzi.
 
Kuthibitisha kuwa azizi ki hakufunga goli, hata prnati yake hakuifunga!! Mapovu ruksa!!!
Sasa tusemeje? Tukisema ukweli kuwa mpira haukuvuka mstari Kwa asilimia 100 mnapota povu,
basi afadhali mtoe povu Kwa halali!!
 
Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki.

Nje kwa milimita 1 Hilo dogo goli kwa kuwa Kuna asilimia kidogo za mpira Bado ziko nje!! Tukirudi kwenye sakata la goli analodai kufunga yanga dhidi ya mamelodi ni kwamba kigezo cha mpira kuvuka mstari kwa asilimia 100 hakikufikiwa! Ilikuwa ni maamuzi mepesi ya VAR yasiyohitaji refarii wa kati kusaidia.

Tukubali timu Bora ya Mamelodi ilistahili kusonga mbele! Underdogs yanga walijitahidi.
Unateseka ukiwa wapi wewe Dunduka?

Rais wa CAF Motsepe mwenyewe amekiri kwamba goli la Aziz Ki dhidi ya Mamelodi lilikuwa goli halali.

Ni ajali tu za kwenye mpira maana marefa nao ni binadamu.


Ila Yanga imepata heshima kubwa ya kujulikana barani Afrika msimu huu.
 
Back
Top Bottom