granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 3,249
- 7,948
sijui hata kama ataelewa,Hapana
Ila hilo swali lako ulilomuuliza huyo kolo limenifurahisha.
Nondo ameonesha udhaifu sana
Mimi naona tulitakuwa tuwe na captain kama diarra ingefaa sana
Tatizo anajua French tu
Uongo [emoji23][emoji23][emoji23]ulivukishwa na mshindo wa mkiki wa Aziz Ki[emoji205]
Mstaafu.we mzoefu au ndo unaanza?
lakini refereee anasema hana makosa ni wasoma movie kwenye var ndio hawakumshauri vizur 🐒Uongo [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lakini refereee anasema hana makosa ni wasoma movie kwenye var ndio hawakumshauri vizur [emoji205]
huenda lile shuti lilitikisa hadi var ujue, tusiwalaumu sana wasoma video [emoji205]
Aziz Ki anafaa sana ni mpambanaji mzuri na muhamasishaji mzuri. Hata akitolewa kwa sub huko benchi lazima uone anavyowamasisha waliopo uwanjani. Nondo nilishangaa kwenye moment kama ile yeye yupo yupo tu pembeni na Mkude wametulia tuli. Hata goli lilivyoingia ni Azizi ki peke yake ndio alikuwa anashangilia. Sijui wengine walizubaishwa na lipi. Kiufupi wachezaji wenzio hawakuwa kwenye kulipigania hilo goli kwa waamuzi.Hapana
Ila hilo swali lako ulilomuuliza huyo kolo limenifurahisha.
Nondo ameonesha udhaifu sana
Mimi naona tulitakuwa tuwe na captain kama diarra ingefaa sana
Tatizo anajua French tu
ndo maana...Mstaafu.
Poleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]ndo maana...
AKSANTEPoleeee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unateseka ukiwa wapi wewe Dunduka?Kwa maneno mengine ni kwamba ukichora mstari juu sambamba na ule wa chini halafu uchore mstari mwingine kutoka juu hadi chini perpendicular (nyuzi 90) hapo ulipo mpira, huo mstari wa kutoka juu kuja chini haupaswi kuugusa mpira! Kwa hiyo hata kama mpira umebaki.
Nje kwa milimita 1 Hilo dogo goli kwa kuwa Kuna asilimia kidogo za mpira Bado ziko nje!! Tukirudi kwenye sakata la goli analodai kufunga yanga dhidi ya mamelodi ni kwamba kigezo cha mpira kuvuka mstari kwa asilimia 100 hakikufikiwa! Ilikuwa ni maamuzi mepesi ya VAR yasiyohitaji refarii wa kati kusaidia.
Tukubali timu Bora ya Mamelodi ilistahili kusonga mbele! Underdogs yanga walijitahidi.