Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,446
- 1,645
Habari Tanzania !.
Nawaomba watanzania wenzangu tuamue kwa pamoja kuwa katika Sheria zetu hasa upande wa Jinai; tuondoe vifungo vya zaidi ya miaka 20 pamoja na kufuta kifungo cha maisha jela au kunyongwa mpaka kufa.
Uhalisia ni kuwa; hakuna aliyemkamilifu isipokuwa ni Mungu pekee. Ikumbukwe uwepo wa Sheria ni taa ya kuonyesha maovu au dhambi lakini haiwezi kuondoa tatizo au kulimaliza.
Tuweke ukomo wa kifungo kwa mtu au watu wenye kutenda makosa ambayo yanatupa uchungu sisi jamii usizidi miaka 20. Ili tutoe funzo na namna bora ya watu kuishi kwa upendo na amani.
Asanteni.