Uyo mungu unaye mtaja kuwa mkamilifu , yeye ndio mwenye kinyongo alimlaani Adam na hawa na kuwatupa duniani, huku shetani akiwa adui yake mkuu.
Okay, turudi kwenye hoja Yako , mfano mauwaji ya albino, unakumbuka yule Mtoto mdogo wa kike mwenye ualbino alivyo uwawa kwa kukatwakatwa na mapanga kule Bukoba?.
Wahusika wakiwa ni mzazi na kiongozi wa dini ya msalaba na tiba asilia.
Lengo la kumpeleka mtuhumuwa gerezani ni kijirekebisha , Sasa tabia ni kama ngozi ni ngumu kubadilika mapema na ndio maana tunashauri magereza yawe na Hali nzuri ili wahalifu wanapomaliza vifungo vyao wawe ni watu Bora ki afya, ki mwili na ki akili.
Na pia kwenye magereza Kuna Kwa ajili ya wahalifu sugu , wahalifu hatari, na wahalifu wadogo.
Sasa sio vema kwenye ustawi wa jamii,kuwarudisha mapema watu walio dhibitika kufanya jinai, kujichanya na jamii.