Ukiona imetokea ukafungwa Miaka 30 jela kwa kosa la kutiana mimba.Tambua
(1) Mwanamke mwenyew hajakuelewa (hajakupnd) lazim atakuchoma tu ktk familia yake na Ukiingia kweny 18 za mahakama umekwisha.
(2)Wazazi wa mtoto wakiume endapo hawakufay mawasiliano ya haraka na familia ya mtoto wakike,basi familia yake haitaona umuhimu wa mtoto wa kiume kutamba mtaani.
Hapo Miaka 30 itakuhusu ukiwa na bahat mbaya.
(3)Washika dau,hawa ni wale watu wa pembeni na familia ya mtoto wa kike wadau hawa wakimuandama mama mtoto alietiwa mimba,na akakubali ni sawa alietia mimba kupotezwa umekwishaa...
(4)Nasibu, bahati nasibu. Ikiwa ni bahati yako mbovu,miaka 30 mtu unafungwa hiv hiv unajiona. yani kama unaonelewa kumbe ndio unaenda kufungwa kweli hivyo.
(5)Nimara chache sana mtu kufungwa miaka 30 jela kwa kesi kama hiz za kutiana mimba,Nikesi ambazo zinaishia vikao sebuleni kuisha makali yake.
Kweli sheria ipo ktk nchi yetu na inafany kazi lakin naweza sema nisheria ambayo inaleta ukinzani sana hasa ktk familia tajir na masikini.
familia za kitajiri zipo baadhi ni mbaya ukijichangay umekwisha. Zingine starabu zinaelewa hali halisi vile ilivyo wataamua mtoto wao ajifungue badae ataendelea masomo.